suzuki Escudo

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
wale wataalam wa ku import magari kutoka japan/dubai nikihitaji escudo used from japana or dubai itanicost how much hadi kuwa barabarani
 
wale wataalam wa ku import magari kutoka japan/dubai nikihitaji escudo used from japana or dubai itanicost how much hadi kuwa barabarani

Mi niliinunua hapa hapa Bongo (Jan 2008) ikiwa imeingia kama 20 minutes zilzopita tangu mimi naingia show room. Ni manual na ilinicost Tshs 12.3M ya mwaka 1995. Kwa vile hawa wa show room watakuwa wameweka faida yao, then I guess itakugharimu arround Tshs. 10M
 
Esucdo ipi na ya mwaka gani? Unataka Grand Escudo au unataka escudo ya kawaida tu hizi za miaka ya 90s?
 
Hiz za kuanzia mwaka 2002 (grand) ila ukinipa bei kwa zote siyo mbaya nichek mfuko utakuwaje
 
Wewe leta budget yako tujue uwezo wako then tuanze kutafuta.

we tumba acha ukorofi haya magari tunanua kwa mkopo nataka kujua how much nichukue mkopo fasta nikipata milion 7 au 10 au 12 niweze fanya maamuz
 
Back
Top Bottom