suzuki escudo inauzwa................. bei ni million 14

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
habari wana JF
kwa aliyokua anaitaji suzuki escudo hiyo sasa. bei ni sh million 14,000,000 tu

_ads_128.jpg
 
Weka Details zaidi...mfano Ya Mwaka gani?? cc ngapi? imetembea Kilomita ngapi? na weka na picha zaidi...kusema bei tu hakutoshi.
 
ina cc 2000
manual transimition
year: 1999


hahah unafurahisha senior.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom