Suti iliyozusha mjadala

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
JKK.JPG
 
na huyo babu kushoto kwa mkulu ndo nani? mbona kama anataka kujifia vile!!!1
 
ha ha ha naona anazidi kwisha tu huyo wa kushoto na yule wa nyuma naona tumbo linazidi kutangulia mwili unamuacha,hawana amani tena siku zao zinahesabika
 
Huyo babu ni RC. Wa Dar kama sikosei anaitwa Meck Sadik pia yupo DR. Mtaalamu Wa Nuclear Gharib Bilal namwona pia mama salma, pinda, membe,kova kama kawa kwa nyuma kule na mabodygurd wengine na waandamizi wachache.
 
Unaposema suti iliyozusha mjadala unamaana moja ya zile suti mkweree alizopewa na waarabu? Lakini kama ni hivyo hapa mbona hajavaa suti?
 
duhhhhhhh
hapo nimeona Jacket la suti..
Hii bora hata angekataa rangi haiendani nae kabisa...
 
Kwa hakika JK kapendeza ila nadhani rangi tu ndio imekaa kushoto ila katoka ile mbaya.
 
Kwa kweli kama u-handsome ungekuwa ndio kigezo cha kuipeleka nchi paradiso, tungekuwa na raha sana maana saa hii nji hii ingekuwa inaelea kwenye maraha, afya bora, maisha bora, elimu bora kwa kila m-tz. Lakini imekuwa kinyume! Ee mola tuone watu wako.
 
tuache masihalllllaaah jamani, MAKAMU WA RAIS NI MZEE, mie naona hata nguvu za mwili zinamwishia. NI vizuri apumzike jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom