Survey your plot at a reasonable cost.

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,218
Tunatoa huduma ya Survey ya plots, kuangalia kama plots zipo mahali salama katika ramani ya mipangomiji na kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa kiwanja. Also tunafanya topographical and engineering surveys. NAOMBA MNI-PM PLEASE Update: unaweza kutupata kwa namba 0713611842, tunapatikana dar es salaam but tunaweza kufanya kazi sehemu yeyote in tanzania depending on the budget
 
Mkuu, unless hauko serious na unachokisema, sidhani kama una sababu ya msingi kutotoa details hapahapa mpaka utumiwe PM. Kama unamaanisha ukisemacho, sidhani pia kama unafanya bure kazi yenyewe. Naamini clients wanalipia huduma hiyo - na automatically the more clients you have the more money you make. Unataka watu wakufuate kwa PM kwa sababu gani Mkuu?
 
Uko wapi ndani ya tanganyika? isije ikawa mtu uko kigoma wewe uko mtwara.
 
Okey wazee nimewaelewa,but inakuwa ngumu sana kutaja kila kitu hapa jamvini kwani mambo mengi yanayohusu hiyo ishu hapo juu yapo kiproffessional zaidi. Ninaweza kumwaga mambo ya fedha hapa jamvini kumbe kuna mtu alishawahi kumpiga mtu changa la macho kwa mambo hayohayo! Nafikiri tutapoongea ndipo tutapeana all the details. Najaribu ku-update thread ili niweke phone number
 
Dear jestina bei za upimaji zinatofautiana kutegemea na factors mbalimbali ambazo zipo kitaalamu zaidi,nafikiri kama tukiwasiliana kwa hiyo namba hapo juu tutaeleweshana vizuri zaidi
weka bei basi...
 
Okey wazee nimewaelewa,but inakuwa ngumu sana kutaja kila kitu hapa jamvini kwani mambo mengi yanayohusu hiyo ishu hapo juu yapo kiproffessional zaidi. Ninaweza kumwaga mambo ya fedha hapa jamvini kumbe kuna mtu alishawahi kumpiga mtu changa la macho kwa mambo hayohayo! Nafikiri tutapoongea ndipo tutapeana all the details. Najaribu ku-update thread ili niweke phone number

Mkuu naona na wewe unataka kutupiga changa la macho ndo maana hutaki kuweka mambo hadharani. Hivi unaona taabu gani kusema plot ya size hii nafanya survey kwa bei hii?

Kwa watu wa mikoani unafanyaje kuwafikia? Au ndo mambo ya nitumie tiketi ya ndege nije? Kuwa serious na busi mkuu!!
 
Mzee ni mambo ya kitaalamu zaidi. Unaweza kuta plot kubwa inapimwa kwa bei ndogo kuliko plot ndogo. Mfano plot ambayo ipo kwenye pori nene au katikati ya nyumba nyingi mara nyingi inakuwa na cost kubwa kuliko ile ambayo ipo peupe tambalale haijalishi size yake,hiyo ni factor mojawapo tu mkubwa. Kama ni kuja mkoani mabasi yapo and gharama zake zinakuwa included kwenye gharama za upimaji. Naomba unichek kwenye hiyo namba tueleweshane vizuri and tusaidiane
Mkuu naona na wewe unataka kutupiga changa la macho ndo maana hutaki kuweka mambo hadharani. Hivi unaona taabu gani kusema plot ya size hii nafanya survey kwa bei hii?

Kwa watu wa mikoani unafanyaje kuwafikia? Au ndo mambo ya nitumie tiketi ya ndege nije? Kuwa serious na busi mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom