afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,207
- Thread starter
- #41
Huwa wanatrace ila hata wakimpata si kila mtu anakuwa na haki na mtoto? na pia inategemea yule baba alipotoa mbegu alisainishwa vipi kama alisema hatafuatilia ataishia kumwona mtoto kwa mbali tu. yaani mimbegu ilivyojaa hapa bongo mpaka kaenda south? kuna story pia nilisikia mdada wa watu hataki kuolewa wala kuzaa mtoto awe na baba anakuja kumwoa. alichofanya alienda kijijini huko kutembea kwa ndugu zake akatembea na mwanakijiji huko yaani mchovumchovu, akarudi huku kimyaaa mpaka leo ana mtoto wake. sijui wanakuwa na akili gani. ila kuna wengine wana shida kiukweli kama mume hana uzazi kabisa
daaahh sasa hiyo ya kwenda kijijini
mmmmmmhh huo ni wizi wa mali ya asili...
vipi mwana akikuwa na aulize mama baba yangu ni nani??