Surrogate Mother

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
jamani mimi leo nataka kuuliza kuhusu haya mambo ..
maana yanakua kwa wingi sana

ni kweli si kila mwanamke amejaliwa kupata mtoto wake mwenyewe
utakuta mtu na mumewe wanaishi pamoja lakini hawaku jaliwa mtoto
na wanataka sana mtoto au utakuta gay couple wanataka mtoto

wanacho fanya wanaomba mwanamke mwingine awazalie mtoto..
huwa wanapenda wanawake ambao tayari wanafamilia zao
(i mean familia yenye baba mama na watoto)

kuna wengine wanaruhusu wake zao walale na mwanaume mwingine
, na kuna wengine wana pandikiziwa mbegu..

maswali yangu yanakuja hapa ..
umebeba mimba miezi tisa, ukijifungua tu mtoto anachukuliwa kwa madai
kwamba mtoto si wako ....
Je mtoto ulie mbeba miezi tisa kweli si wako au ???
na we mwanaume utajisikia vipi kuona mkeo ana mimba ya mtu mwingine
??
 
Kwa ukichaa wa kisasa huruhusiwi hata kushangaa......
 
Kwa ukichaa wa kisasa huruhusiwi hata kushangaa......

duuhhh
kwa hiyo mmhh
tuchukulie hii kama normal situation tu..
Je haita kwaza kitu chochote kwenye familia ya mtu ....
 
Kwa ukichaa wa kisasa huruhusiwi hata kushangaa......
Uzungu unatuzuzua tu, kwani lazima mzae? si mnaweza ku adopt tu! Tatizo letu tumeweka mawazo kua ndo ni watoto ndo maana kunatokea kuto kuelewana kati ya wanandoa pindi tu pale mmoja wao anapojulikana hana uwezo wa kuzaa.
 
...penye makubaliano, hakuna litaloshindikana.

Halafu hilo la kubeba mimba miezi tisa, kuna wengine siku wanayojifungua ndio siku
anayo kinyonga kitoto au kukitupa chooni!
 
Afrodenzi asante kwa kuwakilisha hilo swala, personally huwa simalizi ku comprehend the issue. Hiyo wanafanya saana huko magharibi na nafikiri wao ndo wanaweza cause wanavisheria hata vya kipuuzi vya kumbana mtu. Tokana na the fact kua hawafanyi kienyeji na everything vinakua documented, yule biological mother hana jinsi zaidi ya kukabidhi huyo mtoto. Pia mara nyingi hao sarogates wanafanya hivyo kama a source of income ndo maana watu wanaofanya sana hii ni the rich and famous cause it costs a lot of money; For instance the gay Elton John na patner wake.

Hizo nchi tunazoona kua ni kioo cha kila kitu tusipoangalia zitatupeleka pabaya sana. Kama watu mmeoana kuna haja gani ya kuanza kutafuta tena surrogate? kama huzai ni understandable but una uwezo wa kuzaa, is there any need; I believe not. Hapo mtoto anachukuliwa kama commodity tu! I believe kuna haja ya kila mwanamke ambae Mwenyezi Mungu kampa uwezo wa kuzaa anatakiwa a experience at first hand, its a wonderful feeling, inakubadilisha you as being kabisa na kufanya uelewe na kuappreciate the world you live in zaidi.
 
ndo utashangaa mbu na mateso yote,bado anaona haina thamani huku wengine wanalilia hata kula ndimu tu kuona dalili za ujauzito .

...penye makubaliano, hakuna litaloshindikana.

Halafu hilo la kubeba mimba miezi tisa, kuna wengine siku wanayojifungua ndio siku
anayo kinyonga kitoto au kukitupa chooni!
 
Dada AD huku kwetu bongo ni vigumu sana issues kama hizo lakini kwa wenzetu ni kitu cha kawaida na hutakiwi kushangaa.
 
jamani mimi leo nataka kuuliza kuhusu haya mambo ..
maana yanakua kwa wingi sana

ni kweli si kila mwanamke amejaliwa kupata mtoto wake mwenyewe
utakuta mtu na mumewe wanaishi pamoja lakini hawaku jaliwa mtoto
na wanataka sana mtoto au utakuta gay couple wanataka mtoto

wanacho fanya wanaomba mwanamke mwingine awazalie mtoto..
huwa wanapenda wanawake ambao tayari wanafamilia zao
(i mean familia yenye baba mama na watoto)

kuna wengine wanaruhusu wake zao walale na mwanaume mwingine
, na kuna wengine wana pandikiziwa mbegu..

maswali yangu yanakuja hapa ..
umebeba mimba miezi tisa, ukijifungua tu mtoto anachukuliwa kwa madai
kwamba mtoto si wako ....
Je mtoto ulie mbeba miezi tisa kweli si wako au ???
na we mwanaume utajisikia vipi kuona mkeo ana mimba ya mtu mwingine
??
hapo red:Hii pia ni 100% culture ya Waafrica nendeni mpate simulizi za wazee walivyokuwa wakiingia makubaliano na nduguze kumzalia (kumlala mkewe) pindi anapokuwa functionless.
 
Afrodenzi,

Tafadhali nenda polepole, the way I SEE it, you are likely to be carried away ....

Referring to these two threads below:-
Afrodenzi said:

Afrodenzi said:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/99835-wangapi-wanakubaliana-na-hili.html
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
 
Afrodenzi,

Tafadhali nenda polepole, the way I SEE it, you are likely to be carried away ....

Referring to these two threads below:-

...ha ha ha, Baba_Enock naona una 'connect the dots!'
 
I know of a friend of mine msichana tulikuwa tunafanya naye kazi kabla sijaitosa hiyo kampuni 3 years ago, what she did alienda South Africa wakampandikiza mbegu then everything went well mpaka akazaa the thing is yule aliyetoa zile mbegu aliandikisha jina lake pale hospitali siku alipoenda kuulizia pale hospitali wale madaktari nafikiri walimpa contacts za huyu rafiki yangu sasa yule mwanaume anasema anamuhitaji yule mtoto and he's ready to pay millions kwa huyu mwanamke as compensation (anavyodai yeye hilo limenishangaza) nilimuuliza huyu msichana why did you do it akasema aliamua tu na huyu msichana ni mtoto wa the ambassador of Tanzania to certain SADC country (I wouldn't like to mention it) na huyu jamaa yuko desperate kweli anamuhitaji huyo mtoto mpaka sasa bado issue inaendelea haijaisha
 
kasheshe ni pale ambapo wengine
ili kuzuia matatizo ya kudaiwa watoto

wameamua kuzaa mpaka na mama za mabinti zao au ndugu zao wenyewe

yaani mtu na mkewe wana mtoto lakini surrogate mother ni mama mkwe
pata picha????????
 
Back
Top Bottom