Sura

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Sura sio roho wajameni! Kuna jirani yangu handsome kinoma lakini ni katili hakuna mfano, ana wivu sijapata kuona! Mke marufuku kutoka nje! Asubuhi anafagia uwanja anaenda zake viwanja akirudi akikuta alama ya viatu mke ajieleze! Inasikitisha sana!
 
Hajui mapenzi! Ndo maana wakati mwingine tunashsuriwa kuchunguza kwa makini sana mahusiano uliyonayo kabla ya kufikia maamuzi ya ndoa!
What I blv ni kwamba kwa mwanamke Kama huyo ndoa ishakuwa adhabu badala ya kuifurahia! Nwy, kila abiria atabeba furushi lake mwenyewe!
 
Sura sio roho wajameni! Kuna jirani yangu handsome kinoma lakini ni katili hakuna mfano, ana wivu sijapata kuona! Mke marufuku kutoka nje! Asubuhi anafagia uwanja anaenda zake viwanja akirudi akikuta alama ya viatu mke ajieleze! Inasikitisha sana!

Huo u handsome umeupima kwa kigezo kipi mkuu?
 
Wanawake wengine usipowafanyia hivyo huwa hawana raha katika ndoa lakini anapofanyiwa hivyo ndio anaamini kuwa anapendwa....
 
mapenzi ya hivyo yamepitwa na wakati, bidada anachungwa hadi kero!!

Kwa civilized pipo huo ni utumwa kabisaaa hawana haya eeh hebu aache bana roho yake chafuu

Mapenzi hayapitwi na wakati,ni yaleyale sisi tunarudia tu,juzi nimemtembelea rafiki yangu Chacha Marwa nafika tu mlangoni hata bado sijagonga,nasikia wanaongea, umbea ukanishika nikasubiri kidogo nijue wanasema nini,namsikia shemeji anamwambia Marwa Mume wangu siku hizi hunipendi yaani toka mwezi uliopita hata makofi hujanipiga..sasa huyo naye labda ndio njia ya kumuonyesha mke wake mapenzi....
 
Back
Top Bottom