Sura mpya ya mjadala wa tindi kali kwa katibu wa mufti zanziar sheikh soraga

semtema

Member
Oct 19, 2012
52
13
Kama tulivyowahi kupashana habari kua Katibu wa Mufti Zanzibar sheikh Soraga alimwagiwa tindi kali na watu wasio julikana. Tukio hili liliongozana na matukio tofauti yaliowah kupita nyuma kidoogo na kuzua mtafaruku hapa visiwani zanziar kama vile kuto onekana kwa sheikh FARIDI.
Wengi wa watu walishutumu kua sheikh faridi alijificha mwenyewe, ingawa wafuasi wake waliamini kua serekali ilihusika kumficha. Kilichopo sasa ni kugeuzia kibao kwa SORAGA kua nae ALIJIMWAGIA TINDIKALI MWENYEWE, haya yanasemwa na wafuasi wa UAMSHO kua kama sheikh wao alijificha basi Soraga nae alijimwagia tindikali mwenyewe.

KWA MWENDO HUU KWELI TUTAFIKA???
 
Hivi bado kuna UAMSHO ambao hamjakamatwa? Mbona mnaafutwa sana, mmejificha wapi?
 
Uamsho 2taendelea kuepo leo na kesho arakati 2naricshana na ushindi una karibia inshaalha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom