Sura kama avatar ya Nitonye

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,732
avatar63949_1.gif

Kama umeifungua hii thread utazaa mtoto mwenye sura kama huyu jamaa sijui ni Soldier?

avatar63949_1.gif
 
Jamani mbona mnamuonea? hivi kama yake inachekesha ya Nduu/Mamaya mtaionaje? lol hapa ni profile picture, na avatar.
profilepic47534_2.gif
avatar47534_3.gif
 
Ole wake yeye akikosoaye kiumbe ambacho Mungu alikiumba kwa mikono yake!
Ole Ole ><100.
Imeandikwa.

wewe nawe sijui unakunywa tingisha au mbege. Wapi nimekosoa hivi mtu akisema utaa mtoto anyefanana na pindaa au Wassira anakuwa kamkosoa kiumbe? Kwa taarifa yako naitamani sura ya Avator ya Nitonye.........dont force me to eat that water
 
Nimeshaisoma, nahamia kwingine.
 
Back
Top Bottom