Kasha imekufanya nn
Njiani hukukutana na wakukupoza angalau kamoja tu?
Supu ya pweza sawa, lakini nakushauri kaanga mbegu za maboga na uwe unatafuna kila siku, pia kula ubuyu kwa wingi hapo kaka jogoo mpaka miaka 90 anawika tu kokolikooooo, welaaaaa!
yaani hapo urithi wa babu hadi kwa vitukuu , vilembwe na vining'ina n.k
guys rmbr kuna hiv and kufa,jukumu la dhambi kwa mungu.kama vp tafuteni wake!cyo uzunifu 2 kila cku.
Ha,haaa mi nafikiri ni fikra za mtu ndio zinamfanya aone ivyo je imeshasibishwa na wataalam?
Mmmh Kashaijabutege bana, polee!
guys rmbr kuna hiv and kufa,jukumu la dhambi kwa mungu.kama vp tafuteni wake!cyo uzunifu 2 kila cku.
Andika kiswahili kizuri bwana...kumtaja MUNGU anza na herufi kubwa na si uzunifu ni UZINIFU
sijui kama inaukweli wowote lakini mie binafsi nampenda pweza,mtamu na ugali na Urojo na Muhogo ndio mmmmmmmm! hayo ya nguvu zakiume labda uwe una kula mara kwa mara,babu yangu alikua anapenda sana supu ya pweza na alikua ana wake wa3 sasa sijui ilikua inamsaidiaje,lakini kwa upande wangu sijui kama nikweli...
Fb wakati nakuona mwenge kibandani kila siku wafanya nini pale
Ni maeneo ya Tabata Ijumaa jioni jana, meeting with four old friends. Sasa wakaniconvice tukale Pweza. . I
have never taken it! Dah kwenye hicho kijibanda muuzaji kakata vijipande vidogovidogo, sh 100! Only men
were coming, anadondosha pesa zake anakula pweza wake na supu anachapamwendo!Sasa kuja kuuliza
naambiwa pweza, hasa supu yake ni muhimu sana kwa kuongeza nguvu za kiume! Tena nikaonywa kama sina
mwanamke nisijaribu kula though kwa jana sijaona effect yeyote kwa kweli! Inawezekana mada hii
imeshaletwa hapa but wadau hebu tuambiane, hii mambo inakuwaje? Na mtu anapozungumzia nguvu za
kiume anamaanisha nini hasa? Poweful erection? Sperm Count? Ability to do for a long time bila kuchoka?
Uwezo wa ku impregnant a woman? what does it mean? Tusaidiane wakuu! Nawakilisha.
Mkubwa na magonjwa ya zinaa yalivyosambaa nashangaa watu wataitaji kuongeza nguvu za kiume!
Pia nawashangaa wanaotaka kuongeza uume wao pia! Si ni kunizidisha chances za michibuko wakati wa tendo la ndoa?!
Ila everyone has got their own type cup of tea!
Who are we to argue?!