Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Feb 24, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original!

  Sirudii tena!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,181
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 48
  Kwahiyo tukuchangie kununua mpya ama...?
   
 3. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dada nitashukuru sana.
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 12,969
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 48
  Kasha imekufanya nn
   
 5. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SI UNGECHEPUKA KWA MACHENI AU SAN SIRO..... UKA :laser:
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,181
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 48
  Aliyenunua supu ndo anapaswa kushughulika kwa hili pia!
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,025
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii nayo kali kashaija bwana, hii ukienda na alfu 50000 bar utachangiwa sana aisee
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  kuna mahali nimeona kitu,kumbe kweli:wink2:
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,868
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Njiani hukukutana na wakukupoza angalau kamoja tu?
   
 10. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Supu ya pweza sawa, lakini nakushauri kaanga mbegu za maboga na uwe unatafuna kila siku, pia kula ubuyu kwa wingi hapo kaka jogoo mpaka miaka 90 anawika tu kokolikooooo, welaaaaa!

  yaani hapo urithi wa babu hadi kwa vitukuu , vilembwe na vining'ina n.k
   
 11. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 608
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ngoja nikajaribu.
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,291
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38
  aisee,tunashukuru kwa taarifa!
   
 13. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  aisee kumbee! Nimepata hiyo...

   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 63
  kama mbali angekuja buguruni bei rahiiiic kabisa.
   
 15. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 63
  Bora usirudie! hiyo inaywewa kw mipango .....sa we unakunywa tuuuuu! unafikiri break fast hiyo.
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,567
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Supu ya kuku wa kienyeji, Nitamu sanaaa. Pweza ni noma hivi wanawake wakinywa inakuwa kama wanaume?
   
 17. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ha,haaa mi nafikiri ni fikra za mtu ndio zinamfanya aone ivyo je imeshasibishwa na wataalam?
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,567
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sidhani aisee maana kila mtu anasifia hakumbuki akiwa anaenda kunywa tayari akili ishajiwekea jambo hilo so hamu inakuwepo tu kabla hata supu haijafika mezani
   
 19. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Kwa mengi yameongelwa ila nachujua kama utumii lishe bora na mazoezi na kutopenda kufanya kila wakati kwanini usiwe na nguvu za kukutosha?
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,567
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Vyips mayai na vikuku vya kizungu vinawacost watu wengi, ugali kuleni na mlenda, chai kwa mihogo na viazi vitamu ahh hili ni janga la taifa bwana
   
Loading...
Similar Threads - Supu pweza uwezo Forum Date
Hadithi: Jimama la supu ya pweza Mahusiano, mapenzi, urafiki Feb 10, 2015
Utafiti: supu ya pweza sio busta, usijidanganye Mahusiano, mapenzi, urafiki Nov 10, 2014
Siri sio supu ya pweza bali ni mazoezi Mahusiano, mapenzi, urafiki Nov 9, 2014
Maajabu ya Supu Ya Pweza Mahusiano, mapenzi, urafiki Dec 4, 2013
Supu ya pweza maarufu kama respect. Mahusiano, mapenzi, urafiki Jun 19, 2013

Share This Page