Suprise

DEOCHUMA

Member
Jun 16, 2012
25
3
Jaman ninakipaj cha kuimba toka utoto pia nimesomea kaz hiyo,sasa nimetoa single ya gospel mahadhi ya sebene lakin radion wanataka pesa ndipo wanitoe,sina mdhamin wala manager but naamin naweza kaz hiyo plz nishaurin nifanyeje.nyimbo yangu utaipata YOU TUBE andika DEOGRATIAS87 au DEOGRATIAS CHUMA nyimbo inaitwa NIMEBARIKIWA ni nzur imechangamka nyingne inaitwa YESU NI WEWE,na nyingine TUNAKUABUDU JEHOVA,zisikilize then unishaur kitu.nawategemea wadau wangu!kwa wanaotaka kutumia simu nitumie kwa 0683425636
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom