Suprise nyingine hazifai...

Mr.Mbilimbili,tupe feedbak bado suprise zinaendelea?na umechukua hatua gani mpaka sasa?enjoy ur surprise.
 
Habari za hapa: kwenye mahusiano hasa kipindi cha urafiki wa kimapenzi, kila mtu huwa anajitahidi kufanya mambo kwa kushtukiza (suprise). Hii imenitokea weekend iliyopita lakini imeniweka kwenye wakati mgumu, mpenzi wangu wa kike alinizimia sim Ijumaa jioni hadi kesho yake saa tatu asubuhi. Baada ya kumbahatisha hewani alinieleza kuwa ni "Suprise" alinifanyia, nilikasirika ila sikumwambia chochote nikakata sim. Tokea hapo hadi jumapili asubuhi hatukuwasiliana kabisa, nilipokwenda kanisani tukawa tumefundishwa juu ya msamaha. Ndipo nilipotoka tu nje nikamtumia txt kwamba "suprise zimekwisha" hakunijibu chochote. Niliamua kumpigia baada ya nusu saa hivi, akanijibu Nashukuru. Lakini tokea hapo mawasiliano sio mazuri, nikipiga sim wkt mwingine haipokelewi wala baadhi ya txt hazijibiwi. Nifanyeje kwa hili? Roho inaniuma kwa kuwa ninampenda sana huyu binti!

Only positive advice here, "KULA KONA, TENA KIMBIA MBIO ZAKO ZOTE BILA HATA KUGEUKA NYUMA"
Just speaking from an experience.
 
Mkuu anza kujipanga ! Kafanya suprise ya Ijumaa ambayo girls yeyote wa kawaida hawezi kumfanyia mtu wake!katest zari kuona ama maji yamejaa ama yako nusu!ningekuwa mimi ile ile ijumaa ningefanya physical suprise kwake ili nijionee!na kama nisinge-mkuta pale nilipotegemea awepo ningenza kuunganisha dots.... offkoz anakufahamu na sasa anakuendesha,na mara nyingi ukiona hivi ndio anaanzisha uhusiano mpya na usitegemee arudi as old good days!thibitisha vitu vidogo vidogo (1. kaa kimya kwanza ka wiki hivi, usipige simu wala kutuma msg 2.Kwa kipindi hiki fahamu anapendelea kwenda wapi na kwa nini .3. Mtafutie zawadi ya kawaida anayoipenda na mtumie....msionane ......angalia responce yake kama ni ya kawaida ya siku zote ama la! 4. Mtafute ghafla then pekua simu without her knowledge......) then unganisha dots..... anza kujipanga kivingine
 
Wanwake ni viumbe vya ajabu sana!

Hapo hata ukimwambia tu-break up, atakubali tena kwa moyo mmoja akiwa na nia ya kwenda kwa mwingine!

Habari za hapa: kwenye mahusiano hasa kipindi cha urafiki wa kimapenzi, kila mtu huwa anajitahidi kufanya mambo kwa kushtukiza (suprise). Hii imenitokea weekend iliyopita lakini imeniweka kwenye wakati mgumu, mpenzi wangu wa kike alinizimia sim Ijumaa jioni hadi kesho yake saa tatu asubuhi. Baada ya kumbahatisha hewani alinieleza kuwa ni "Suprise" alinifanyia, nilikasirika ila sikumwambia chochote nikakata sim. Tokea hapo hadi jumapili asubuhi hatukuwasiliana kabisa, nilipokwenda kanisani tukawa tumefundishwa juu ya msamaha. Ndipo nilipotoka tu nje nikamtumia txt kwamba "suprise zimekwisha" hakunijibu chochote. Niliamua kumpigia baada ya nusu saa hivi, akanijibu Nashukuru. Lakini tokea hapo mawasiliano sio mazuri, nikipiga sim wkt mwingine haipokelewi wala baadhi ya txt hazijibiwi. Nifanyeje kwa hili? Roho inaniuma kwa kuwa ninampenda sana huyu binti!
 
Habari za hapa: kwenye mahusiano hasa kipindi cha urafiki wa kimapenzi, kila mtu huwa anajitahidi kufanya mambo kwa kushtukiza (suprise). Hii imenitokea weekend iliyopita lakini imeniweka kwenye wakati mgumu, mpenzi wangu wa kike alinizimia sim Ijumaa jioni hadi kesho yake saa tatu asubuhi. Baada ya kumbahatisha hewani alinieleza kuwa ni "Suprise" alinifanyia, nilikasirika ila sikumwambia chochote nikakata sim. Tokea hapo hadi jumapili asubuhi hatukuwasiliana kabisa, nilipokwenda kanisani tukawa tumefundishwa juu ya msamaha. Ndipo nilipotoka tu nje nikamtumia txt kwamba "suprise zimekwisha" hakunijibu chochote. Niliamua kumpigia baada ya nusu saa hivi, akanijibu Nashukuru. Lakini tokea hapo mawasiliano sio mazuri, nikipiga sim wkt mwingine haipokelewi wala baadhi ya txt hazijibiwi. Nifanyeje kwa hili? Roho inaniuma kwa kuwa ninampenda sana huyu binti!

Dunia ina watu bilion7 unahamgaika na mtumoja? Uko na aliki wewe?
 
Samahani mkuu kwani kulikuwa na kitu kipya ulikuta kule kunako mpk unamng'ang'ania kiivo,
Km umempenda kwa sura tu wapo wengi, kwa tabia pia wapo wengi, labda km kuna jingine vingnevyo piga chini
 
huyo ana yakwake asizingue eti suprise.kutana nae physically ongea nae kiundani atakwambia tu ukwel....
 
kk hiyo ni super fake surprize! Kutokuwa hewani kwanza ni beadache kwako maana hautajua kwanini hapatikani either kapata matatizo au vp? Dillema hiyo. Lkn pia kwake yeye alidhamiria kufanya hivyo, lkn kwanini? Alafu ameifanya week end!! Kwa mtazamo na uzoefu wangu ni kwamba, alikwenda club au vinginevyo na akaona utamharibia pozi na kidenishi chake kipya akazima sim baada ya kurudi saa tisa amechoka akalala akaamka mida hiyo akawasha simu ndio ww ukampata hewani. Kuna usemi unasema ukiona nguchilo anamletea mbwa dharau ujue kuna shimo karibuyake. Jipange kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom