Suprise ndani ya distance love... inafaa?

Wapwa eeeh! Nguli kapata mwenza naona mchuano unataka kuanza kati ya couple hii na ile ya xpin /ZD

Kamati ya maandalizi iko standby. Harusi hiyo naona ntalazimika kuisimamia mwenyekiti mwenyewe ili kuipa uzito unaostahili.
 
I DONT BELIEVE IN BLUETOOTH/gprs LOVE/RELATIONSHIP.

MIMI NA MPENZI WANGU NINGEPENDA KUTEMBEA NAE KILA MAHALI TUSHIKANE MIKONO NA KILA MTU AJUE. NINA MAPENZI YA KUMBIKUMBI

tHIS ONE IS VERY TRUE. i am a living witness to this, anD BIG UP nGULI, KEEP IT UP!
 
I love e'thing from u.

1. The avatar na maneno yake
2. Signature....I will love u untill 1+1 become 3.

mimi pia nilitaka nimwambie, nice signature, ndo maana hataki surprise, maana hiyo condition aliyoiweka!
 
aaaah nyamayao. Ushasahau nlishasemaga sijawahi mkata mwanamke yoyote bikira. Na wala hata sijui inakatwaje. Kwa upande wangu mi nilibikiriwa na sabuni nikiwa form two.
ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
hiyo ndio inakufaa! Naona umevunja rekodi kwa off point leo.
 
Lol! Nimeingia choo cha kike nikasahau kuchuchumaa! Hahaha!
 
Suprise ni nzuri,ila kwangu mimi sipendi hii ya kusafiri umbali mrefu bila ya taarifa.Kuna siku wife alinifanyia hiyo mnayoita suprise,mashetani yake yamempanda,si unajua zenj na dar masaa mawili tuu.Akaona kwa nini apate tabu na mie tabibu nipo,huyo kwenye boti.Nikiwa najianda kutoka home mida ya jioni,mara simu njoo unipokee bandarini,kwanza sikuamini.Kiaina nilifurahi kwani na mie nilikuwa nimemmiss,lakini sikuwa huru kwani nilikuwa najiuliza kwa nini ameamua kufanya hivi na kwa kweli sikupendezewa nalo na yeye alijua.Mbaya zaidi suprise yake ilisababisha ajue kitu ambacho sikutaka akijue na hata yeye hakuamini kama naweza kukifanya.Of course sikumkataza kufanya tena ila nilimwambia nitajifunza kuzoea.
 
Nimegundua wakaka wengi hawapendi surprise wakati wadada wanapenda ila wanaogopa sababu zitawasababishia heart attack
 
I am one of those distance lovers. siku moja mume wangu aliamua kuni-surprise, akaja kwangu bila taarifa, na wala hakuomba nikampokee, alikuja moja kwa moja home. ukweli nilifurahi sana na yeye aliniambia wazi kuwa aliniona jinsi nilivyofurahi. siku nikafanya hivyo kwake. sikumkuta nyumbani ila tulikuwa tunawasiliana sana kwa sms na kila mara nikimwuliza yuko wapi alikuwa ananiambia kuwa yupo sehemu. alirudi home kama saa 4 usiku, akakutana na viatu vyangu mlangoni, akashangaa. akauliza hivi viatu mbona vipo hapa, mtoto wetu akamjibu "mke wako ndo kavivua hapa", kwa kweli alipofika chumbani alifurahi kuniona lakini niliona kabisa na aliniambia hakupenda nilivyokuja bila taarifa
 
suprise nzuri ni ile ya mko pomoja, unamfanyia mwenzio kitu ambacho hategemei umfanyie kwa wakati huo. lkn ya kutoka mkoa hadi mkoa....?! ukipata ajali njiani?
 
Wapwa eeeh! Nguli kapata mwenza naona mchuano unataka kuanza kati ya couple hii na ile ya xpin /ZD

nafurahi sana CARMEL unavyojali wapwa zako wengine midomo mizito hata kwenye ile picha yangu niliyoweka jana mliona so I need a back up like urs

TENKSI E LOTI MEEEENI.
 
Je inafaa kumfanyia mwenzio suprise bila kumpa taarifa ??

FL1:(

FL1, swali hili gumu sana, kwanza kwa vile kiustaarabu inabidi umtaarifu mwenzio kuwa unaenda na pili kuonyesha kuwa unamwamini.

Lakini kwa upande mwingine unaweza kujiaminisha 'nipo peke yangu kwa hiyo ngoja nimpe 'surprise' kumbe unaenda kujua uliyokuwa hutakiwi kuyajua! saa nyingine huu unakuwa kama 'ufunuo'. Ila sasa, kama ndo umeenda hivo sawa ukamkuta yupo peke yake anaweza pia kununa kwa kutomtaarifu...labda iwe imejijengea mazoea kuwa wewe huwa unazuka tu!:rolleyes::confused:
 
eeh huyo atakayenuna labda hakupendi lol badala ya kufurahia ujio wa ghafla wa kipenzi chake ananuna
 
Kiaina nilifurahi kwani na mie nilikuwa nimemmiss,lakini sikuwa huru kwani nilikuwa najiuliza kwa nini ameamua kufanya hivi na kwa kweli sikupendezewa nalo na yeye alijua.Mbaya zaidi suprise yake ilisababisha ajue kitu ambacho sikutaka akijue na hata yeye hakuamini kama naweza kukifanya.Of course sikumkataza kufanya tena ila nilimwambia nitajifunza kuzoea.

kwa kweli alipofika chumbani alifurahi kuniona lakini niliona kabisa na aliniambia hakupenda nilivyokuja bila taarifa

eeh huyo atakayenuna labda hakupendi lol badala ya kufurahia ujio wa ghafla wa kipenzi chake ananuna

You see FL1, kuna 'mstari mwembamba' sana kwenye hilo la kutoa ama kutotoa taarifa (surprise au la). Kama ulivoona hapo juu, ijapokuwa kwa upande mmoja walifurahi, upande mwingine kulikuwa na concern kuwa kwa nini bila taarifa. Inaweza kujenga imani kuwa 'haniamini' and the like, which may or may not be true, lakini utamzuiaje kuamini?

Ndo maana nikasema labda iwe kama ni mazoea, lakini kwa wazoefu wa zaidi ya miaka 10 kama mimi na Mrs Nyamayao hapa hapo itakuwa na maswali mengi kweli!
 
kama kweli mpo katika penzi la kweli na la dhati, uwezi kuogopa kufanya wala kufanyiwa suprize, kwa sababu wote mnajiamini, lakini kama mnazuga basi suprize itakutoa roho
 
You see FL1, kuna 'mstari mwembamba' sana kwenye hilo la kutoa ama kutotoa taarifa (surprise au la). Kama ulivoona hapo juu, ijapokuwa kwa upande mmoja walifurahi, upande mwingine kulikuwa na concern kuwa kwa nini bila taarifa. Inaweza kujenga imani kuwa 'haniamini' and the like, which may or may not be true, lakini utamzuiaje kuamini?

Ndo maana nikasema labda iwe kama ni mazoea, lakini kwa wazoefu wa zaidi ya miaka 10 kama mimi na Mrs Nyamayao hapa hapo itakuwa na maswali mengi kweli!

mr kweli unanijua vilivyo, jamani mie ctaelewa kama ni suprise, nitahoji tu...anifanyie kwenye zawadi sio masafari.....
 
FL1 afadhali hata wewe ulikumbuka mlango ulioingilia, mdogo wangu ali-collapse, nikapigiwa simu nitamchukue, maana sijui angerudije home

eeeh yaani mie mwenzio sijaandika kisanga chote nimekomea nusu yake lakini niliugua hukoooo nilipoelekea namshukuru mtu mmoja ambaye alinisaidi baada ya kutoka katika mlango huo maana nilikuwa naona giza
 
haha haaaaaaaaaaa, pole mwaya kwenye hii safari ya mapenzi hadi usettle kutendwa na kutenda ni lazima, bila hivyo unakuwa hujakomaa.;)
 
suprise nzuri ni ile ya mko pomoja, unamfanyia mwenzio kitu ambacho hategemei umfanyie kwa wakati huo. lkn ya kutoka mkoa hadi mkoa....?! ukipata ajali njiani?

Yaah suprise ya mkiwa pamoja ni nzuri sana na nina amini zinaimarisha penzi zaidi,na ni hakika kila upande unakuwa na furaha ya ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom