Suprise ndani ya distance love... inafaa?

Carmel miaka ileeeeeeeee kuna jamaa niliamini ndo roho na mwili wangu ni kama vile mwili bila damu ..one day yes nikatia timu bila taarifa nilisafiri masafa kidogo ,,kufika naingia ndani nakumbana na bi dada kakaa na huyo jamaa wamejilalia na kanga moja t made in India kwenye kochi huku vi picha vyangu nikiwa naye vikiwa vimepambwa ndani sasa sijui alimwambia huyo mdada mie ni nani yake ama House girl ama dadaangu sipati picha
Mlango nilioingilia ndio niliotokea mpaka keshooooooooo najuuuuuuuuta kumfahamu
habari ndo hiyo

Sasa ikawaje tena akaja kukuoa, ulimsamehe?
 
NA WEWE UNA MASWALI MENGI UTADHANI PAPARAZI KAMA NILIVYOKWAMBIA MLANGO NILIOINGILIA NDO NILIOTOKEA SIJAONANA NAE MPAKA KESHO
KILA SHETANI NA MBUYU WAKE NA MIE NIMETUA KWENYE MBUYU WANGU WA HALALI
uTAJJ:)
 
hao wadada huwa wanaambiwa ukweli kuwa huyu ndo (atakuwa) mwenye nyumba. kwa hiyo hapo inakuwa ni kurushana roho tu. na kama hivyo ulivyomfumania basi yeye ndo anaweza akawa mbadala
 
Carmel miaka ileeeeeeeee kuna jamaa niliamini ndo roho na mwili wangu ni kama vile mwili bila damu ..one day yes nikatia timu bila taarifa nilisafiri masafa kidogo ,,kufika naingia ndani nakumbana na bi dada kakaa na huyo jamaa wamejilalia na kanga moja t made in India kwenye kochi huku vi picha vyangu nikiwa naye vikiwa vimepambwa ndani sasa sijui alimwambia huyo mdada mie ni nani yake ama House girl ama dadaangu sipati picha
Mlango nilioingilia ndio niliotokea mpaka keshooooooooo najuuuuuuuuta kumfahamu
habari ndo hiyo

haaa nimecheka sana kwa huzuni, FL ulipata nafac mpaka ya kujua khanga ni made in wapi? haolaalaa
 
NA WEWE UNA MASWALI MENGI UTADHANI PAPARAZI KAMA NILIVYOKWAMBIA MLANGO NILIOINGILIA NDO NILIOTOKEA SIJAONANA NAE MPAKA KESHO
KILA SHETANI NA MBUYU WAKE NA MIE NIMETUA KWENYE MBUYU WANGU WA HALALI
uTAJJ:)

Hahahah! Got you! Kwa hiyo mumeo haku kukuta bikira? My my my my! Yaleyaleeee! Hahahaha! lol!
 
NA WEWE UNA MASWALI MENGI UTADHANI PAPARAZI KAMA NILIVYOKWAMBIA MLANGO NILIOINGILIA NDO NILIOTOKEA SIJAONANA NAE MPAKA KESHO
KILA SHETANI NA MBUYU WAKE NA MIE NIMETUA KWENYE MBUYU WANGU WA HALALI
uTAJJ:)

FL1 afadhali hata wewe ulikumbuka mlango ulioingilia, mdogo wangu ali-collapse, nikapigiwa simu nitamchukue, maana sijui angerudije home
 
we nawe, wako ulimkuta nayo au yeye alikukuta nayo?

aaaah nyamayao. Ushasahau nlishasemaga sijawahi mkata mwanamke yoyote bikira. Na wala hata sijui inakatwaje. Kwa upande wangu mi nilibikiriwa na sabuni nikiwa form two.
 
kumbe wewe ni mjanja, unatafuta wenye experience tu. hutaki kufundisha? au sio mwalimu mzuri?
 
Hakuna kitu kibaya katika mahusiano kama kufumaniana, kama kuna uwezekano wa kukwepa fumanizi, ni bora ukwepe maana unaweza kupata ugonjwa wa moyo ghafla. Dunia imechafuka sana, si kwa manaume wala wanawake, so the good way ni kupeana taarifa.
 
Kawaulize mabaamedi wa maeneo ya Tegeta wakueleze! Wananijuaga sana. Kuna wawili walishawahi kutwangana siku moja....... you knoo woram seeeeeing?
 
Hakuna kitu kibaya katika mahusiano kama kufumaniana, kama kuna uwezekano wa kukwepa fumanizi, ni bora ukwepe maana unaweza kupata ugonjwa wa moyo ghafla. Dunia imechafuka sana, si kwa manaume wala wanawake, so the good way ni kupeana taarifa.

I love e'thing from u.

1. The avatar na maneno yake
2. Signature....I will love u untill 1+1 become 3.
 
Wapwa eeeh! Nguli kapata mwenza naona mchuano unataka kuanza kati ya couple hii na ile ya xpin /ZD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom