Suppliers wafuatao Tuwasiliane fasta

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,488
86,004
Kama una kampuni yenye huduma hizi naomba tuwasiliane kwa PM tu.
Kwanza nahitaji kampuni ya AC watakaofanya marekebisho ya AC lakini pia huduma zifuatazo ni muhimu sana niwasiliane nao kwanza

  1. Computing equipment servicing and maintenance
  2. Courier services
  3. Fuel Supply
  4. Internet services
  5. Office/House and Housing (Electrical/Plumbing) maintenance
  6. Supply of general stationery
  7. Travel agency Bookings
  8. Various insurance ( Accident, Motor Vehicle, workers compensation)
  9. Vehicle repair and maintenance service
 
Mkuu hapa kwenye computer equipment services and maintanance naomba hiyo dili no yangu ni
0714519880
 
Haya kaka asante.. ila kuna wale ambao wanaweza kutoa hizo service ila hawajasajili kampuni, je wanaweza kufikiriwa ktk hilo??
Asante
 
Asant sant mkuu. mimi naomba kazi 2 hapo

1) Courier services ( Dar, Moro & Pwani.)
2) Supply of general stationers
tuwasiliane 0657 14 5555/0686 200 117 info@havilla.net/
nasubiri
 
Wabongo bana njaa tupu. Mtu amesema tu kwamba anataka saplayaz pasipo kusema ni kwa ajili ya nini na yeye ni nani na yuko wapi kiofisi, vikampuni njaa mmeshaanza kudondosha miprofaili na kutoa manambj ya simu! Duuh.. Kweli dar njaa kali.. Si mrudi kijijinia wajomba. Mtatapeliwa mjini hapo. Learn to reason tena logically.. Sio being easy receptive. Funguka wewe.
 
Back
Top Bottom