Suplimentary yazua kizaazaa cbe

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Mwalimu mmoja wa CBE alijikuta akinyanganywa gari lake na denti baada ya denti kumuomba tcha huyo amtnlee sap kwani alikuwa mwaka wa mwisho kimasomo. Ticha alikubali lakini kwa shariti kuwa sup hiyo itolewe gest.
Dent alikubali ila siku ya 2kio aliwaandaa rafiki zake ambao aliwaelekeza haina ya gar la tcha na gest wadndako. Wakiwa room dent aliwarushia washikaji ufunguo kwa dirishani wakasepa na mkoko.
Baada ya mchezo denti alimwambia tcha kuwa haiwezekani unile hivhiv kisa sap. Dent akamwambia ticha kuwa sap zote aziondoe ndoapate gar lake na tcha alifanya kama dent alivyo agiza na cku ya cku sap zikatolewa but tcha gar hakuna
Basi 2limcheck tcha wetu,mkuu wa department bwana ... Akiswampa kwa mguu miezi kadhaa. Na sasa ndokapata gar jingine. Mabinti wa vyuoni chukueni hayo magar msikubal kudharirishw kisa sap
 
CBE ni chuo cha vilaza matatizo yake hayatuhusu watanzania.
Wanachuo wanauwezo mdogo ile ajabu.
Endeleeni kudoo huko magesti mkiishiwa hela fanyieni hata in lecture thearta.
 
CBE ni chuo cha vilaza matatizo yake hayatuhusu watanzania.
Wanachuo wanauwezo mdogo ile ajabu.
Endeleeni kudoo huko magesti mkiishiwa hela fanyieni hata in lecture thearta.


Marytina

Sijui kama ni maneno ya busara kuita chuo kuwa ni cha vilza kwa kuwa vilaza hawawezi kuwa chuo wanakuwa nyumbani, CBE kama chuo kingine chochote wanakuwa na entry Qualification na kama hujazifikia huwezi kujiunga na chuo hicho. Embu tupe justification kuwa CBE ni chuo cha vilaza.
 
Ai? Sasa kama mtu uko shule, afu unarahisisha academic roles zako kwa ngono, ndo ukilaza wenyewe huo. Prospectus inasema ukipata chini ya 40 ufanye saplimentari, wewe unahonga uchi kwa kitu ambacho unaweza, na ni wajibu wako. Huo ndo ukilaza wenyewe!
 
Marytina

Sijui kama ni maneno ya busara kuita chuo kuwa ni cha vilza kwa kuwa vilaza hawawezi kuwa chuo wanakuwa nyumbani, CBE kama chuo kingine chochote wanakuwa na entry Qualification na kama hujazifikia huwezi kujiunga na chuo hicho. Embu tupe justification kuwa CBE ni chuo cha vilaza.
tutolee ubishi usiokuwa na msingi hapa.Kama ngono ni kigezo hapo CBE kuchomoa suppl sasa huo ni nini kama sio ukilaza?Hicho chuo ni kwa ajili ya wale wasiojiweza kabisa kiakili, graduate wa CBE hawezi kutumia programm za kawaida za computa.Ukiona Research pepa zao za mwaka wa mwisho utadhania ni form four wa Loyola secondary.Nawajua sana manake hata jirani yangu nilimshauri ampeleke mwanae kilaza hapo CBE na anafaulu sana tuu mpaka leo mama yake ananiheshim mwanae atapata digrii.
Matatizo ya vilaza hayaitaji kutumia akili za msingi kuyatatua,Unawapa tu fursa ya ngono watatulia.
 
Dah? Huyu martina angezaliwa Mwitongo probable angekuwa Nyerere. Naunga mkono hoja kwa asilimia zote.
 
Acha propaganda za kizamani, CBE ukiwa nje unaweza sema yote hayo.. Ila kwa waliopo wanajua ugumu na ubora wa elimu uliopo hapo...
 
Back
Top Bottom