super star gani akifa unahisi anaweza kumfunika kanumba kwenye mazishi?

jamani hivi kuna staa kweli wa kibongo akifa anaweza kupata watu wengi na kumfunika Kanumba kama ilivyokuwa leo??

si wewe mkuu? Jf nzima itamwagika kwako kukuaga dictator Mussolin wa jf kavuta.
 
kumbe hii chochoro inatokea tena hii street ya the late SK
 
wewe hapo! Bladfaken! Ndio uko kuwachulia
wenzio kisa upime umaarufu!
 
Hivi ni sifa kuzikwa na wengi wanafiki?
au bora uzikwe na ndugu, jamaa na marafiki
Wa karibu wanaokujali? ...

Anyway swali lako la hovyo sana ...
Sitaki kuamini umekaa hapo na unawaza who's next??
 
Mbona haya mambo hayaishi jamani? Mara hivi mara vile. Kweli Kanumba kachukua attention yetu kiasi hiki? Kwanini tusiiangalie kesho ya nchi yetu sisi tuliobaki?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom