Super Bowl XLIII - Karibuni Tampa Bay

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Kama mnavyojua SuperBowl XLIII inafanyika my hometown Tampa Bay. Game linachezwa Feb 1.

Wakati watu wa Midwest na North mnakaukiana kwa libaridi la kufa mtu, huku tutakuwa kwenye 80's. Mwanakijiji, AbTichaz na Geeque (Midwest Crew) mpo? Mzee wa New England "Yournameismine" vipi nawe masikio yatakuwa yanaganda kwa baridi? Nyani Ngabu na Icadon najua hapo ATL kutakuwa na baridi pia. Kwa hiyo msione noma kujisogeza huku ma-bay area. Ni masaa sita kupush mchuma.

Kwa kudodosa tu, Ijumaa Jan 30 tutakuwa Channelside tunalenga vitunguli kwa kutumia vitufe vyenye vitundu vitatu (bowling). Jumamosi Jan 31, tutaanza kwa kuchoma mbuzi mzima, halafu jioni tutakuwa Clearwater Beach tuna jet skiing kwenye 80 degrees Gulf of Mexico.

Kwa mara nyingine tena another Black Coach (Steelers Coach) is going to win SuperBowl. First was Tony Dungy (SuperBowl XLI).

Karibuni nyote....
 
Nilidhani baada ya Obama kuwa raisi haya mambo ya fulani mweusi fulani mweupe yamekiwsha kumbe wapi! Sasa hapa wewe bwana QM unaangalia nini, rangi ya ngozi ya kocha wa Steelers au uwezo wake? Kulikuwa na ulazima gani kuweka rangi yake ya ngozi?
 
History in the making...

Otherwise, karibu uchezee maji ya bahari. Najua ATL ni landlocked city...hata kijibwawa hakuna. lol
 
QM,
Aisee ngoja nicheki mambo hapa naweza kuja Tampa kwenye hiyo weekend maana baridi ya hapa Chi haina hata huruma ha ha ha.
 
QM,
Aisee ngoja nicheki mambo hapa naweza kuja Tampa kwenye hiyo weekend maana baridi ya hapa Chi haina hata huruma ha ha ha.

Yeah njoo bana.. Hiyo weekend huu mji utakuwa haukaliki. Fun kila kona.
 
Hahahaaa....umewahi kusikia Lake Lanier wewe?

Lake What? Au ndio kale ka-bwawa kanako splash maji pale karibu na CNN Headquarters? Kale ambako watoto (na wakubwa) wanapenda kwenda kujigalagaza. LOL
 
Lake What? Au ndio kale ka-bwawa kanako splash maji pale karibu na CNN Headquarters? Kale ambako watoto (na wakubwa) wanapenda kwenda kujigalagaza. LOL

hahahahaha lol !! QM u got jokes hahaha !! Yaani unadai kwa kina Mazee Ngabu ni land locked na wanaishia ku-chill ofisi za CNN kupata raha ya maji?
 
hahahahaha lol !! QM u got jokes hahaha !! Yaani unadai kwa kina Mazee Ngabu ni land locked na wanaishia ku-chill ofisi za CNN kupata raha ya maji?

Ni kweli GQ! Wakitoka 'kuogelea' kwenye kale kabwawa, wanapiga kwata kumi tu, wako Coca Cola Headquarters.. Basi pale wanafyonza soda za bure weee mpaka wanavimbiwa. Madai yao eti wanaenda ku-test brand za Coca Cola Dunia mzima....kumbe wanaenda kukata kiu. Ha ha ha
 
Aidha hujui au unajua lakini umeamua kuua tu. Lakini najua hujui! Haya jifunze kidogo basi kwa kubonyeza hapo: Georgia Lakeside Resort: Lake Lanier Islands Resort in Georgia
 
Last edited:
Aidha hujui au unajua lakini umeamua kuua tu. Lakini najua hujui! Haya jifunze kidogo basi: Georgia Lakeside Resort: Lake Lanier Islands Resort in Georgia

Ha ha haaa kumbe unazungumzia haka ziwa kalikojaa mapelege (kama uliwahi kufuga samaki, basi utakuwa unajua samaki hawa).

Lakini mbona address (top right corner) inasema haka ziwa kako mji unaitwa Lake Lanier Islands? Ebu ngoja ni-mapquest kwanza. Usijekuta unajigambia ziwa ambalo liko maili 100 kutoka Atlanta...lol
 
Naona unakula kinyesi chako mwenyewe siku hizi! Na hamna haja ya kujigamba. Sasa wewe kama unajigambia(?) bahari ya Pacific sijui Atlantic basi bana...wewe uko league ingine na hakuwezi mtu....Ahahahahahahahaaa....kwani mtu akisema anaishi metro au suburban outskirts of Atlanta wewe unaelewa nini?
 
Naona unakula kinyesi chako mwenyewe siku hizi! Na hamna haja ya kujigamba. Sasa wewe kama unajigambia(?) bahari ya Pacific sijui Atlantic basi bana...wewe uko league ingine na hakuwezi mtu....Ahahahahahahahaaa....

Duh...haya bana!!!

kwani mtu akisema anaishi metro au suburban outskirts of Atlanta wewe unaelewa nini?

Ninaelewa kwamba huyo mtu anaishi metro au suburban outskirts of Atlanta:)

Lakini is utani.....unakaribishwa kujirusha na 'floridalicious.' SuperBowl weekend kutakuwa na special access kwa out-of-towners. Baada ya hapo access inakuwa reduced to 'locals' only...
 
Duh! toka ujue kutumia gun basi siku hizi umekuwa bonge la gangwe yaani...!! ATL ni kama Morogoro tu, mjini lakini hakuna bahari...twi twi twi twi!!

Nilikuwa napenda Kurt Warner enzi zake za timu ya nyumbani (St Louis Rams), na ktk mechi hii nasema go Warner, go Cardinals!!!:) Washinde ili kibabu, John "Makopo" McCain kipate cha kusema huko Capitol Hill!

www.ujinganaupuuziforums.com

busha la babu yako....lol
 
Hewala Sheikh...lakini mie sina busha, mwenye busha ni Rev. Pampula bin Kishoka al Kagunga ibin Igunanilo wa Jangala al Panga la Shaba wa Ufudu III, twi twi twi twi ana jina refu kushinda hata la marhumu Ditto!!:D

Go Cardinals.........yaaaaaaaaaaaaaay!!

Yaaaaaaaaaay is so gaaaaaaaaaaaaaay!
 
I hope haitakuwa boring na kila dalili zinaonyesha Steelers wataibuka kidedea. Nama\fagilia kocha mweusi ambaye ni mwaka wake wa pili na Steelers. Makocha weusi wanadharauliwa sana kwenye Basketball, American Football na pia Baseball. Go Steelers!Steelers wakishinda utakuwa ni ushahidi mwingine wa kutosha kwamba makocha weusi wakipewa nafasi wanaweza kufanya maajabu.
 
Nyambaaaf na pambaaaf kabisa wewe mbaguzi. Wewe kila kitu mweusi na mweupe. Dizaini unajiona uko duni sana wewe na kila wakati uko katika "prove something" mode! Sasa na wazungu na wenyewe wakisema wanamfagilia kocha wa Cardinals kwa sababu ni mzungu si utakaa ulie ulie ubaguzi kama kasichana ka shule ya vidudu....mijitu kama wewe mnanikera sana mimi....
 
Point tupu! Badala ya kushabikia mpira wao wanaangalia rangi ya kocha, wachezaji na vitu visokuwa vya msingi.....inaitwa "reverse racism" na ni tabia mbaya sana!!!

Makocha weusi ktk NBA, MLB na NFL wanadharauliwa na nani? ushahidi please.....!? Kocha akifanya vibaya awe mzungu au mweusi, watu watamwona hafai na "moto" utamfuatia!! Doc Rivers (Celtics coach) hapa mjini alikuwa na team mbovu (mie namlaumu Dan Ainge....), mambo yamebadilika na tumeona last season kachukua championship! Superbowl mwaka juzi (Chicago Bears v/s Indiana Colts) makocha wote walikuwa weusi....sasa makocha weusi wa-prove nini zaidi!

Hamna kipya toka kwa huyo Tomlin wa Steelers....tumeshaona kila kitu, mibaguzi (weusi kwa wazungu) ndivyo walivyo na hata kifanyike nini haita badilika!!!

Go Kurt Warner, Go Cardinals! Nyani Ngabu get a life, acha kushinda kucha kutwa ktk JF...LOL

Hebu prove kuwa mimi nashinda JF....na ukishindwa jitafutie adhabu mwenyewe....
 
Back
Top Bottom