King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Hahaha hivi sa huyo dogo ana matatizo gani na bro wake kushinda?! Au kweli alibet na bro nini?!Ni Eli kweli huyo.
Walionyesha booth na wengine wote walikuwa wakifurahia lakini yeye tu ndiye hakuonyesha furaha.
Dah that some nails home!Ebana huko Twitter na 'Gram wanamsulubu Cam vibaya mno.
T.J. Ward rips Panthers: "They want to be famous. We want to be champions," Ward said. "They want to be rappers and backup dancers. We want to play football.”
Dah that some nails home!
Hahaha ndo hivyo bro, kila mchezo una namna yake. Na ukumbuke kuwa American Football kama michezo mingine ya full contact lazma uwe na some safety gears.Mchezo gani huu wa kuvaa helmets karibu kila sehemu ya mwili? Watu wanavaa hadi groin guards, what for? The sport was not made for humans!
Hongera to the so called Broncos anyways!
Huyu dogo wamuache apumue sasa, kha!.Ebana huko Twitter na 'Gram wanamsulubu Cam vibaya mno.
T.J. Ward rips Panthers: "They want to be famous. We want to be champions," Ward said. "They want to be rappers and backup dancers. We want to play football.”