Super Bowl 50

Hivi Beast Mode na Megatron mbona wanataka kustaafu mapema hivyo wakati ndo wako katika prime of their careers and still have got enough gas left in their tanks to last 4-5 seasons?!
 
KD was hard at work at SB 50.

Kevin Durant spends Super Bowl on sidelines as photographer

upload_2016-2-8_1-1-5.png

upload_2016-2-8_1-1-25.png

upload_2016-2-8_1-2-0.png

upload_2016-2-8_1-3-17.png
 
Hivi Beast Mode na Megatron mbona wanataka kustaafu mapema hivyo wakati ndo wako katika prime of their careers and still have got enough gas left in their tanks to last 4-5 seasons?!

Yeah arifu...beast mode kaamua kustaafu bana.

Seahawks wameshathibitisha.

Sucks.
 
Ha ha ha! So Carolina Panthers ya Stephen Curry wamepigwa chalii!

Hawa na si walishinda games nyingi sana kwenye regular?
 
Dah, yaan one just can't stomach that easily!. The dude was a bulldozer in that 1, always was! Sa sijui ni nini hasa kinazurura katika mind yake
 
Welp...kwenye NFL hakunaga series mazee.

Ni mambo ya one and done tu.

Panthers kwenye regular season walienda 15-1.
 
Lakini jamaa yuko eccentric sana aisee.

Inasemekana hatajatumia hata senti ya ule mkwanja aliovuta baada ya kusaini na 'Hawks.

Alikuwa anatumia pesa za endorsements tu.

Kama ni kweli basi jamaa atakuwa na akili sana.
 
Welp...kwenye NFL hakunaga series mazee.

Ni mambo ya one and done tu.

Panthers kwenye regular season walienda 15-1.

Najua kuna play-off ambayo ni conference wise na ni game moja moja.

Hawa Panthers niliwasikia sana Stephen Curry akiwasifu ndo nikawa nawafuatilia.

Ila nimefurahi tu timu anayoishabikia huyu dogo imepoteza.

Huu mchezo sio mpenzi kabisa ila kipindi cha Super Bowl unajikuta unalazimika kufuatilia kwa sababu ya matangazo na zile shamra shamra.

Nakumbuka mwaka jana wakati kina Tom Brady wanashinda last minute, was a thriller!
 
Ila hii Super Bowl ya mwaka huu haikuwa nzuri kivile.

Kwa mfano, hakukuwepo na offensive touchdown game nzima licha ya Panthers kuwa na #1 offense.

But at the end of the day man, it's the W that matters the most.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom