Supa star wa JF

Mimi ni Supa Star kule kwetu Tandale mitaa ya Mtogole, Kwa Tumbo, Bi Nyau na Kwa mfuga mbwa, watoto wa kule kitaa huwa wananikoma sana nikiishapiga raba zangu za Michael Jordan na pensi nyanya mtaani hakukaliki kabisa...
 
Afu unavyodharau mitaaa yangu
Ukija sikuuzii
afu sasa hivi na product mpya
kwa jf staaz only
nzuri sana
Mimi ni Supa Star kule kwetu Tandale mitaa ya Mtogole, Kwa Tumbo, Bi Nyau na Kwa mfuga mbwa, watoto wa kule kitaa huwa wananikoma sana nikiishapiga raba zangu za Michael Jordan na pensi nyanya mtaani hakukaliki kabisa...
 
Nashangaa kweli sababu huwa unachukua hongo za viwanja na majumba sasa kupokea hongo ya huyu si utakuwa unamuonea tu...lol

Nauliza maana mwenyewe ulitoa kuukwaa usupar star leo hii unajifanya we mpokeaji tu.Haloo halooooooooo.
 
Mpole kaenda wapi? Au ndio she is bowing in front of Supastars alio wataja na kuwaalika mwenyewe kwenye thread yake?
 
Back
Top Bottom