Supa staa Boban

Mario baloteli wa bongo,jamaaaaaaaa anajua mpira.sema malezi ya kujitambua yahapo kabisa kichwani mwake. Jamaa kaoa bonge la sister duuu wa zizzou fashion.
 
Ni mzee wa viroba nini? Bongo watu wamechoka, mchezaji wa timu kubwa anavaa "yeboyebo"?

Hizo sio "yebo yebo" kabisa tena. ni sports slippers, tena thamani yake, piga panguwa ni kama jozi 40 za "yebo yebo".
 
Back
Top Bottom