Sup

bwana IBWE unataka kusema mteja ni mfalme, ingekua siku ya mahafali joho linakua na viraka sawa na idadi za sup ulizopata ingekua noma sana
au kadri unavyopata sapu linapungua urefu kuna tungetoka na na vizibao au vitop
 
Ahaa!! hivi hata hicho chuo cha KATA mnapata sup Coz hata wakufunzi wenyewe crash program
 
Sup saa hz? Acha uongo wewe, ndo kwanza wameanza kuachia matokeo ARIS, na 3rd year wataenda kuanzia october kusapua! Hyo yako mwenyewe ni ya wapi? UONGO NI NOUMER..!
 
Sup saa hz? Acha uongo wewe, ndo kwanza wameanza kuachia matokeo ARIS, na 3rd year wataenda kuanzia october kusapua! Hyo yako mwenyewe ni ya wapi? UONGO NI NOUMER..!
<br />
<br />
kwa mujibu wa tangazo lao UDOM 3rd wote except wa college ya informatics wameanza supp tar 5 sept, waliobaki ndio mwezi wa 10
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom