Sungu sungu wajaza uwanja wa ccm kirumba mwanza

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Sungusungu ni wengi mno ktk uwanja wa ccm na inasemekana wametoka nje ya mji wa mwanza.

My take
Je wananchi wa kawaida hawakujitokeza kwa wingi ktk kusherekea kuzaliwa kwa ccm?
Nawasilisha
 
Hahaha mmeona suruali na viatu walivyovaa! Hahahaha wamewadhalilisha kabisa
 
Hawa sungu sungu,sijui ni misukule au ndondocha wa ccm?
 
Maridaaad sana, leo tumeona sungusungu wa kisukuma, sasa tunasubiri kuwaona sungusungu wa kichaga!
 
mwaka huu wamekosa vikongwe na watoto?

Mkuu hukuwaona watoto walivokuwa wengi wakati sumalee anaimba wakaitwa kwena kuzunguka stage?
Nimemnukuu mtangazaji wa star tv akisema baadhi ya sungusungu wametoka bariadi katika moa mpya wa SIMIYU na kwa sababu walikuwa wakitofautiana rangi za mavazi yao ya chama ndo akasema pengine watakuwa wametoka maeneo mbali mbali tofauti na bariadi.
 
Mimi nimeangalia hii picha ya huyu kijana aliyeshika bango roho imeniuma sana. Yaani ukiangalia ha-connect kabisa na kinachoendelea, utakuta kaahidiwa Tzs 1,000 ili ashike. Ni sura ya mtu anayejiuliza umuhimu hasa wa sherehe hizo na maisha yake. Tena mbaya zaidi bango lenyewe linaonekana la siku nyingi walichofanya ni kubadili miaka tu.

 
sungusungu.jpg















hawa polisi jamii wangetumika kuwatia bakora mafisadi au wauaji wa vikongwe na sio kucheza ngoma hapo uwanjani.
 
Back
Top Bottom