<sumu>

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Jamani hivi sumu zipo aina ngapi?kuna wimbo unaimba mapenzi yanaua sio kesho hata leo unaweza kuiaga dunia juu ya mapenzi, afu tena inasemekana mke wa mtu ni sumu,sasa kwa yyte ambae anamke naomba anipe mke wake maana kwangu kunguni,mende,panya wananisumbua kwel kwel,nioneeni huruma wajameni.
 
kulingana na maelezo yako nashindwa kujua ka shida yako ni kujua kuna aina ngapi za sumu au unataka sumu iitwayo mke wa mtu ili uue wadudu nyumbani kwako?

whatever the case, kuna sumu za aina kuu mbili;

1. Mapenzi

2. Mke wa mtu

mytake: sumu iitwayo mke wa mtu haiui wadudu ila inaua mtu, so kupewa mke wa mtu means wewe ndo utakae kufa badala ya wadudu, so nakushauri utumie sumu namba moja iitwayo mapenzi kuulia wadudu nyumbani kwako.

Jinsi ya kuitumia ni rahisi tu, kama una line ya TiGo andika *101*(any number ya tigo iliyoactive)*2500# then deal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom