Sumry yapata ajali

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
Wajamii forum, bus la sumry linalotoka arusha kwenda mbeya limepata ajali kwenye daraja la wami
 
Pia na mimi kuna rafiki yangu kanipigia sasa hv kaikuta hapo wami, bado haijajulikana watu wangapi wamefariki, waokoaji wapo eneo la tukio wanajaribu kuokoa
 
source ni mim mwenyewe niko kwenye basi naelekea dar, gari limebinuka matairi yako juu, na watu bado wako kwenye gari hawajatolewa.
 
poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!
 
Dah...na sisi tunaoenda kuhesabiwa inabidi tuwe makini sana!
 
poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!

Eti Champion, mkuu unaruka majivu unakanyaga moto!
 
Jamani hizi ajali mbona zinazidi? Tena kipindi hiki cha kukaribia chris mass inabidi madereva wawe makni sana. Poleni mlioko kwenye ajali.
 
Kwani champion
huwa halipat ajali?
Kama ipo ipo tu
poleni sana wahanga wa tukio hilo, na mimi ndo kwanza nilikuwa nawaza hapa kumchukulia mdogo wangu tiketi katika bus hilo duuuuh..!! aiseeee sasa itabidi nimchukulie tiketi katika bus la champion kutokea hapa mwanza kuelekea dar...!
 
Haya magari ya sumry mbona yanapata sana ajali siku hizi? Mwaka huu kuna Sumry nyingine kutoka Arusha kwenda Mby pia lilipata ajali na kuua abiria kadhaa.
 
Swali hili anaweza jibu kamanda wa kikos cha usalama au mmiliki kama c madereva,ila sumry TOO MUCH
Haya magari ya sumry mbona yanapata sana ajali siku hizi? Mwaka huu kuna Sumry nyingine kutoka Arusha kwenda Mby pia lilipata ajali na kuua abiria kadhaa.
 
Mara Green Star,tena Sumry. Swali langu ni je, kwa nini unatokea ajali nyingi sana za mabasi mwisho wa mwaka?
 
Mtoa habari embu tupe tena mrejesho... wamefariki idadi gani?
Hizi ajali nyengine si za kawaida, zina mambo ya kishirikina.
Japo nyengine kweli zinasababishwa na recklessness of our drivers.
 
Back
Top Bottom