MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Hapa umeni chekesha. Asiende kanisani kwa sababu hiyo? kwa hiyo siku hizi wenye dhambi wasiende kanisani? Kanisani si sehemu ya kutubu dhambi? Hata siku moja hauwezi kusema mtu asiende kanisani kwa sababu ana dhambi fulani because kanisa ni sehemu ya kutubu dhambi. Na kaabuse vipi system kama hata huyo Kawawa anaendaga nje kutibiwa? Mbona unakua na double standards? Viongozi wote wastaafu pamoja na huyo Kawawa hupelekwa nje kwa matibabu. Mwanzo nilikua nakuelewa vizuri ila sasa naona wewe una personal vendetta tu, kila kitu kinarudi kuwa alienda kanisani na sasa umeongeza nakusema yeye hapaswi kwenda kanisani. You are getting personal with this issue and you are now driven by passion not facts.ana haki zote za kulindwa na kutibiwa ila ASI ABUSE system.ukiweza soma makala ya Majjid Mjengwa kwenye gazeti la Kwanza Jamii la tarehe 19 may.ameeleza mfano wa viongozi waadilifu wako vipi.mzee KAWAWA ni kati ya watu wanaotumia rasilimali au kodi zetu kwa umakini mkubwa sana,historia itamkumbuka kwa uadilifu wake.wadhifa hauendani na ufisadi wala mahubiri ya neno la bwana yanakataza ufisadi, hakuna point ya yeye kwenda kanisani huku mafundisho ya kanisa yanakataza ufisadi na kupupia mali za wananchi.