Sumaye ndani ya Uingereza!

Status
Not open for further replies.
wewe uliyeanzisha thread ya vakesheni ya issa michuzi ulikuwa unamuonea wivu,husuda,majungu,gere au kijicho?

Hukujua kama michuzi analipa kodi na kutoa zawadi kwa watanzania?

Katizame comments kwenye michuzi blog juu ya topic yako ya kijicho kwa michuzi.

Kama sumaye alikuwa hana ugonjwa wa kiasi hicho kwanini alipelekwa ulaya na kutumia kodi zetu kwenye mahubiri ya kidini? Lazima kuna walinzi wanaolipwa kwa kodi zetu wameongozana nae.

Au baada ya kumaliza check up arudi nyumbani kwani lazima awe anaishi hotelini akiwa uingereza na chumba chake pekee yake hakipungui pounds elfu mbili kwa siku,bado wapishi na walinzi.huu ni utapeli wa kodi za wananchi.

- Saafi sana Kanda2, hoja hujibiwa kwa hoja hapa tupo pamoja sana mkuu.

Respect.

FMES!
 
Kah! Wewe mwenyewe umesema amekwenda kwa medical check up, na siyo kwamba amekwenda kulazwa hosp kutibiwa, kuna sababu gani ya yeye kutokwenda kwenye nyumba ya ibada kumshukuru Mungu wake kwa yote aliyomjalia? Na je, kama angeonekana kwenye Nght Clubs ingekuwa vipi? Jamani huyu ni Waziri mkuu mstaafu ambaye pension pamoja ma mafao yake mengine yamewekwa kisheria. Dr. Mwakyembe Kutibiwa Muhimbili hakumaanishi kwamba anabaniwa. Tumeshuhudia watu wengi tu wakiwemo wabunge wakipelekwa nje pale umuhimu wa kufanya hivyo unakuwepo, kwanini kwa Sumaye iwe issue! Au ni kwa kuonekania Kanisani?

- Saafi sana mkuu, Sumaye ni Waziri Mkuu wa zamani, ni haki yake kisheria kwenda nje kutibiwa, sasa hili litakwua taifa gani lisilo heshimu viongozi wake wa juu waliojitolea maisha yako masaa 24 kwa siku, kulitumikia kama wameiba basi wizi wao usemwe tutaupigia makelele,

- Sasa hivi ukweli uko wazi kwamba ya Sumaye kuiba na kuwa na mashamba makubwa Kibaigwa, yalikuwa magirini ya yule bondia wa Burundi enzi zile kwa jina Kanyabwoya, maana wezi wetu na walizoiba zinafahamika sasa.

- Sumaye anatembea vipi kama ni mgonjwa, then kwa nini Magic Johnson anatembea na huku ni mgonjwa, ni haki ya Sumaye kutibiwa na kuchekiwa afya yake nje mara mbili kwa mwaka kama Waziri Mkuu mstaafu, sheria haisemi aende akiwa taabani, Mwalimu ameitumia sheria hii na viongozi wetu wengine wa juu bila tatizo, somebody has to be a leader na wengine waongozwa hata huko China ni hivyo hivyo.

- Haya malalamiko ni baseless, Mwakyembe status yake kama mbunge haimpi nafasi ya kuepeleka nje na serikali at this stage ya ugonjwa wake, mpaka afikie stage nyingine mbaya zaidi ya hii, kama alivyofanyiwa Marehemu Mbunge Nyanda, Kasapira na Akukweti. Wakuu tusichanganye ishus kwa chuki na wivu, katika jamii lazima wawepo viongozi na waongozwa!

Respect.

FMES!
 
Huu ni unafiki, Sumaye si mtu bali Michuzi ndio mtu, Sumaye ndio anatumia pesa za walipa kodi Michuzi hatumii sio.

Acheni double standards
.
Unafiki unao wewe kumbe ulijua kuwa Sumaye anatumbua pesa zetu za kodi hukusema,ukaona michuzi ambaye ni mtoto wa kimasikini.pia ujue kuwa Sumaye ni katika mawaziri mafisadi hahitaji kutuibia tena na per de em za ujanja ujanja kama hizi.swali amekwenda kutibiwa au kuhubiri?
 
sumaye alikuja kuangalia afya yake .na hayo maubiri aliombwa kuuuzuria na watanzania waishio UK.Na wala hakupanda gari .alipanda train ambayo ni £20 tu kwenda Reading na kurudi London.Tena sio first class bali third class.Sasa kosa lake liko wapi.Mnaacha kuangaika na Michuzi anayetumia hela zenu vikesheni mnamfuata Sumaye alikwenda kutibiwa akaenda na kwenye mahubiri hata hayo maubiri ni tiba pia.Badala mshukuru anamuomba mungu na huenda akamjalia akawa na afya njema ,hivyo hatatumia hela za wadau kwa matibabu tena.mnalamika.fungueni macho.
Mwanajamii wenu,
Susu
London,UK.
 
Unafiki unao wewe kumbe ulijua kuwa Sumaye anatumbua pesa zetu za kodi hukusema,ukaona michuzi ambaye ni mtoto wa kimasikini.pia ujue kuwa Sumaye ni katika mawaziri mafisadi hahitaji kutuibia tena na per de em za ujanja ujanja kama hizi.swali amekwenda kutibiwa au kuhubiri?

- Mkulu wangu Kanda, kumbe ulikuwa hujui kwamba kuna watu wamefungua vi-blog huko vichochoroni, sasa wanatafuta umaarufu kwa nguvu wanajizungusha zungusha na kulilia kushambulia majina makubwa makubwa kwenye media, ili wafahamike na kwamba labda wataweza kuwapeleka watu huko kwenye vi-blog vyao uchwara sasa angalia usije ukawa unacheza kwenye mtego wao,

- maana the more unavypowagusa ndio the more unavyowapa ujiko wanaoutaka, dawa ni kuwa-ignore zibaki hizo hizo picha zao na familia zao huko kwenye vi-blog vyao, Bwa! ha! ha! aibuuuuu! huu umaarufu huu mbona utaua watu!

Respect.

FMES!
 
sumaye alikuja kuangalia afya yake .na hayo maubiri aliombwa kuuuzuria na watanzania waishio UK.Na wala hakupanda gari .alipanda train ambayo ni £20 tu kwenda Reading na kurudi London.Tena sio first class bali third class.Sasa kosa lake liko wapi.Mnaacha kuangaika na Michuzi anayetumia hela zenu vikesheni mnamfuata Sumaye alikwenda kutibiwa akaenda na kwenye mahubiri hata hayo maubiri ni tiba pia.Badala mshukuru anamuomba mungu na huenda akamjalia akawa na afya njema ,hivyo hatatumia hela za wadau kwa matibabu tena.mnalamika.fungueni macho.
Mwanajamii wenu,
Susu
London,UK.

Jina lako linatafsiri nzito kwenye kabila letu.

kama Sumaye alikuwa ana nguvu za kupanda train ina maana ugonjwa wake haukuwa mkubwa,angeenda Aga Khan au Nairobi kufanya check up then angerudi nyumbani ili kuokoa pesa zetu.

usiseme ni pounds 20 tu.accomodation yake na kundi lake ni zaidi ya pounds elfu sita kwa siku,acha chakula na safari za hapa na pale zidisha kwa wiki nne.tiketi ya ndege ya first class na kundi lake na tiketi moja zaidi ya dola elfu tano.

mwaka 2004 Sumaye alikwenda marekani kwenye shughuli za kuhubiri dini kama hizi akatumia milioni mia tano pesa za walipa kodi.

Rais Baraka obama alikwenda dukani kununua burger akaambiwa na mwenye mgahawa achukue bure ni kama wiki tatu zilizopita.yeye akakataa akasema lazima awe mfano akalipa,sumaye anatakiwa kujua hayo.yeye anasema kasoma Marekani hajajifunza kwani obama kasoma chuo kimoja na Sumaye-HARVARD.

Hawezi kutumia jasho letu wote kwenda kwenda kwenye mahubiri yake.
 
Ina maana alijigharamia yeye mwenyewe kwenda kwenye mahubiri?lazima ubalozi ulimuandalia gari n.k

nahisi hapa naitaji kumpongeza mtyumishi wa mungu;kama anahubiri neno la mungu mwache afanye hivyo...unajua kwenye biblia sadaka zinatumika kwa ajili ya nani...so kama yeye hana kanisa radhi atumie pesa za watanzania kuhubiri neno la mungu.....
Kama asipoubiri sumaye basi hata mawe yatasema ""mungu yupo""
Big up
PASTOR SUMAYE
 
Acha wivu na majungu, unamuonea gere Sumaye, hiyo ni husuda, msione mwenzenu akifaidi, acha roho ya korosho, mwache atumie. Hata yeye analipa kodi, alaaaaa.

Mod thread ya majungu hii, mmeiona au hadi kuireport?

Mkuu Sumaye afaidi lakini Michuzi asifaidi au sio?
 
watanzania ni wanafiki na hawa wanaompona sumaye humu kwenye jamii wengi wao tuu ni ccm ambao huendelea kusapoti ccm na hukaa nje za nchi na passpoti mbilimbili pumbav.......?


wajinga ndio waliwao acheni wandelee kuiba kwa hata wewe ukipewa uongozi utaaibaaa nyote ni weziii tuu wakubwa wenye roho mbaya na uchu wa madaraka ..na kudhulumu haki za wanyonge wasiojiweza ...mutachomwa sana kwa mungu na adhabu ya kwanza ni maradhi mutatibu sana kila nchi hayatapoana na hela pia humatazila kwa raha.
 
Hivi medical check up inajumuisha nini? Yaani hiyo check up haiwezi kufanyika Tanzania? Na kama haiwezi kufanyika Tanzania, tatizo ni nini - wataalamu(sijui hata unahitaji utaalamu gani) au vifaa au vyote viwili? Just curious..it doesn't hurt anything to ask.
check up yaweza kuwa pamoja na colonoscopy (kama aliyofanyiwa bush wakati fulani); yahitaji kum-sedate mtu na kwa TZ inafanywa na surgeon; sasa kwa kuwa hakuna hospitali maalumu ya viongozi utakuwa umemuanika mukulu kwa at least watu 6 (nesi 2, wa-usingizi 2, surgeon 1 na assistant 1), hiyo ni noma kwa mukulu kama huyo!
colonoscopy ni kuchungulia matumbo kwa darubini kupitia 'nyuma'
 
Kama unakuwa huna utii na adabu kwa viongozi wako wakuu wa nchi, basi utakuwa huna utii hata kwa baba yako na mama yako iwapo unao (samahani lakini), Kama unayo dini ungetambua umuhimu wa mtu yeyote kwenda kusali, sasa iwapo wewe husali na hukuwahi na pengine hutapata hata uongozi wa Kijiji kama 'Mjumbe wa shina', ungefika level ya Mhe: Sumaye si ungesema HAKUNA MUNGU? Nikudokeze?.....Maandiko Matakatifu yaani Biblia yanasema hivi 'YEYOTE ANAYEASI MAMLAKA ILIYO KUU DUNIANI AMEMWASI MUNGU, KWA KUWA HAKUNA MAMLAKA ILIYOJIWEKA DUNIANI' ningekupatia Chapter na Verse number usome ila ukifunuliwa jinsi ya kuisoma then come back nikupe references ufike kwa urahisi. UPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO?
 
KUTOKANA NA SENTENSI YAKO KWAMBA 'Waziri mkuu mstaafu bwana sumaye alikwenda uingereza kwa ajili ya matibabu (medical check up)' NAOMBA NIKUELEWESHE KAMA IFUATAVYO:

Translation: MEDICAL CHECK UP ni UCHUNGUZI WA AFYA,
MATIBABU ni TREATMENT/EXACERBATE
 
watu wengine uchawi tuuu

leteni mada zenye maana na si majungu au fitina

mtu mzima hovyoooo!
 
Hata Al haj Hassan Mwinyi anapokwenda nje for medical check up huwa hasahau ibada!
 
Basi wadau wenzangu inatosha mlichomwambia Kanda2, hapa ni kumwelimisha tu ili next time asije kuripoti mada kabla ya kuifanyia uchunguzi. Nakubaliana na hoja ya Msanii - ya kujadili ubora wa huduma zetu za afya kiasi kwamba viongozi (watunga sera) wanaogopa na kwenda kutibiwa nje "
 
wapo wanaotumia jina la uislam kwenye siasa nawapo wanaotumia jina la ukristo kwenye siasa .....

labda niseme kitu kimoja kwa mana kidogo kwenye sekta ya uislam nashkuru nimejisogeza mbele kidogo...


watu wa aina hiini wanafiki uislam unaruhusu uhuru wa kuabudu na kwa upande wa siasa uislam hauendani na sheria za kibinadamu ambazo binadamu hujipangia anavyotaka sawa kinababa...mfano serikali huruhusu pombe bora kodi ...hili kwetu uislamuni hakuna.
SURA2.
256. Let there be no compulsion in religion: Truth stands out clear from Error: whoever rejects evil and believes in Allah hath grasped the most trustworthy hand-hold, that never breaks. And Allah heareth and knoweth all things.


kwa wale wanatumia jina la uislam kwenye siasa sorry hatupo huko acheni unafiki nyinyi pia ni wezi tuuu.....kama ni waislamu kweli basi ....nendeni kwa msajili wa chama kukasajili chama cha kiislamu....


tunapenda wanaotaka haki nauadilifu baina ya pande zote za watanzania bila ya kuwa na ubaguzi wainayoyote...na tumpinge vikali yoyote anaeleta ubaguzi waina yoyote na dhuluma ya raia wanyonge. Ufisadi
 
Last edited:
Kama unakuwa huna utii na adabu kwa viongozi wako wakuu wa nchi, basi utakuwa huna utii hata kwa baba yako na mama yako iwapo unao (samahani lakini), Kama unayo dini ungetambua umuhimu wa mtu yeyote kwenda kusali, sasa iwapo wewe husali na hukuwahi na pengine hutapata hata uongozi wa Kijiji kama 'Mjumbe wa shina', ungefika level ya Mhe: Sumaye si ungesema HAKUNA MUNGU? Nikudokeze?.....Maandiko Matakatifu yaani Biblia yanasema hivi 'YEYOTE ANAYEASI MAMLAKA ILIYO KUU DUNIANI AMEMWASI MUNGU, KWA KUWA HAKUNA MAMLAKA ILIYOJIWEKA DUNIANI' ningekupatia Chapter na Verse number usome ila ukifunuliwa jinsi ya kuisoma then come back nikupe references ufike kwa urahisi. UPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO?

Kwanza Sumaye si kiongozi hivi sasa kiongozi ni Pinda,DR.Shein na JK.
PILI unaheshimu viongozi wenye maadili na kujua haki za wananchi wao.hao ndio wanatakiwa kutiiwa.

Mkapa aliyoyafanya amechukwa nyumba za wafanyakazi wa posta-Ilala na kuifanya hotel ya mke wake-inaitwa LAMADA HOTEL.

kachukua KIWIRA,kanunua Kagera sugar na mengi machafu,nani atamtii?
SUMAYE kanyanganya shamba la wananchi Kibwaigwa.bado kodi yetu anaitumia kuhubiri? kama yeye anaijua biblia mbona hakuifuata alipokuwa kiongozi?

tena makanisa yako London mengi sana akaona lazima apoteze jasho letu kwenda mikoani ili kutukomoa kwanini hakwenda kanisa la mchunagaji Irungu au kanisa la waswahili?

analeta ufisadi hadi kwenye mambo ya Mungu.utawala wa Mkapa na Sumaye utakumbukwa kwa ubaya wao.
 
Hata Al haj Hassan Mwinyi anapokwenda nje for medical check up huwa hasahau ibada!
Hatumii kodi kwenda mji hadi mji kuhubiri mambo ya dini.afanya lililompeleka.au SUMAYE amekwenda reading kuandaa kundi la wana CCM kwa ajili ya uchaguzi?kwenye picha amejazana na wanaccm london sio mapasta au wachungaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom