Sumaye kupasua bomu...

Status
Not open for further replies.
Hata Kikwangala alipata sema hivyo hivyo na ikaandikwa hapa JF kwamba Kigwangala " Kufanya maamuzi magumu Jumanne..." ikafika, ikapita na zinaendelea kupita Jumanne nyingine hakuna cha tamko wala cha maamuzi magumu.So it is to be for Sumaye, I bet! Chezeya maji ya bendera weye!
 
kwani ni lazima kuwa mjumbe wa nec? Jamani hivi miaka 10 ya ukuu bado tu kuna watu wanafikiria uongozi tena kama ni hivyo basi tanzania kuna fursa nyingi sana za kula tu pindi unapokuwa kiongozi.mi ningefikilia labda huyu mh. Kwanza angemsapoti mama nagu,ok fine kapambana naye so kukubali kushindwa kuna nini kwani? Au mpaka kupasua bomu.siku zote inteligent people ignore things and forget.still kuna fursa nyingi tu sio mpaka nec ya ccm.
 
kuu, watu wa siasa wanajua fika kuwa kule kuna ulaji, na akili zao hazitaki kufikiria mambo mengine, hii ni aina ya akina Vladmir Putin (Presidaa --> PM ..> Presidaa ) ni uchu wa madaraka uliopitiliza. Asilimia kubwa ya wanasiasa hasa wa CCM wanafikiri kuwa M-Presidaa. Kama ulivyosema, kuna fursa nyingi sana huku mtaani, lakini watu wamenga'ang'ania siasa tu, kuna vijana wajasiriamali kwa sasa wanapiga sana bingo!
 
Hata Kigwangala aliahidi kuongea na wanahabari siku ile baada ya mtifuano, then akalala mbele. Wengine wakaahidi kuvuana magamba hadi wakapeana siku 90, zilipoisha wakalala fronti bila maelezo ya maana kwa jamii! Kwa mwanasiasa wa TZ si lazima sana kutimiza ahadi yoyote unayoitoa kwa watz, na mambo yanaendelea kukunyookea tu. Hiki ni kisiwa cha amani bana ingawa neno amani ni pana sana.
 
Leo ktk gazeti la Mwananchi kasisitiza ataongea hivi karibuni -- msitie hofu. Mwisho wa Magamba umewadia lol!
 
Waziri Mkuu mstaafu F. Sumaye ametangaza rasmi kuelezea kulichojiri katika uchaguzi huko Hanang siku ya Jumapili, lakini pia ataeleza mustakabali wake kisiasa ndani ya CCM.

Source: Gazeti la Nipashe.
 
Sumaye anataka kushindana na EL, hawezi kufanikiwa. The guy was PM for ten yrs and did absolutely nothing for this country. EL did a better job in his two years as PM . Sumaye falls in second place as the most incompetent PM after Pinda.
 
worse PM Tanzania ha ever had, bora pinda anafunga nyuki na kulamba lamba asali kwenye tv
 
Sidhani kama ana jipya zaidi ya kulialia. Heri amebwagwa maana alipokuwa madarakani hakuona mbali. Umestaafu uwaziri mkuu hivi vijinafasi vya kitoto vyanini tena? Ingawa Sumaye ameonyesha unafuu ikilinganishwa na mapapa kama Lowassa bado ni bomu kwa vile yuko kwenye chama cha mafisadi. Hata akihamia CDM asiaminiwe kugombea urais maana atakuwa amewatumia kufikia malengo yake ambayo kama CCM wangekuwa tayari kuyakubali asingehama. Hivyo ni bomu.
 
We note also that EL was the most erratic PM that ever walked the earth. I still shudder at the memory of his sudden decision to hire a firm to "make rain" over Mtera, and his propensity to throw his weight arround by impulsive firings!

Sumaye and EL were never good leaders, and they never will be. I wish they would simply retire and leave us alone.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom