M Mr.Busta JF-Expert Member Mar 24, 2011 672 99 Mar 25, 2011 #41 sumaye atakapotoa maamuzi mazito tutashangaa na itakuwa ni mwanzo kwa watanzania kutoa maamuzi mazito.kwani hatujazoea kutoa/kusikia maamuzi magumu.
sumaye atakapotoa maamuzi mazito tutashangaa na itakuwa ni mwanzo kwa watanzania kutoa maamuzi mazito.kwani hatujazoea kutoa/kusikia maamuzi magumu.
M Mr.Mak JF-Expert Member Feb 23, 2011 2,841 1,102 Mar 25, 2011 #42 Kumbe Sumaye naye Chadema mnamuhitaji?!!! Chukueni tu huyo wala hana dili.
M msosholisti Member Feb 17, 2011 60 1 Mar 25, 2011 #43 Ni kweli anaweza kung'oka leo kwani ameazimia kugombea uraisi for cdm 2015