Sumaye kampasua JK na Rizi tayari?

nyamagaro

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
394
101
Wanajanvi. Ile press conference ya sumaye imekuja na mapya gani. Wenye data mtujuze please. Inasemekana Jk ndiye kinara wa kuwatumia hawa wakora kuwashambulia wastaafu wanaojaribu kuonyesha njia namna nchi inavypswa kuongozwa. Hawa wastaafu wanamkosesha mkulu usingizi na akaamua kumtumia mwanaye kuleta fitina kwa kupitia wakora (uv chama cha-majamba). Any updates please?
 
MKUU MBONA UNAKUJA KIUDAKU-UDAKU AISEE

Tanzania ina shida nyingi sana sasa wewe ukija na heading ya namna hiyo nachelea kuamini ndio maana tuna shida hivi

Badala ya wewe kuuliza sumaye kasema nini kama ex-prime minister, wewe unakuja na riziwani na JK, unadhani kila mtu amekaa kimipasho-pasho ?? Sumaye amesema aliyosema tafuta thread alianzisha invizibo na ina kila kitu

Inasikitisha mkuu kama SUmaye anapoongea halafu watanzania tunahangaika kuheki kama kuna personalization - too sad!!
 
Sioni tatizo kwenye hii thread. Nahisi tatizo liko kwenye nafsi ya MTM.
 
MKUU MBONA UNAKUJA KIUDAKU-UDAKU AISEE

Tanzania ina shida nyingi sana sasa wewe ukija na heading ya namna hiyo nachelea kuamini ndio maana tuna shida hivi

Badala ya wewe kuuliza sumaye kasema nini kama ex-prime minister, wewe unakuja na riziwani na JK, unadhani kila mtu amekaa kimipasho-pasho ?? Sumaye amesema aliyosema tafuta thread alianzisha invizibo na ina kila kitu

Inasikitisha mkuu kama SUmaye anapoongea halafu watanzania tunahangaika kuheki kama kuna personalization - too sad!!
Naku support mkuu. Huyu naona anakuja kimugongo-mugongo,,eti "inasemekana". Wewe tafuta data uzimwage hapa ndipo watu wazijadili. Kwani ushafanya hiki ni kijiwe cha umbea?
Kuwa makini,,utaliwa kekundu!
 
Back
Top Bottom