Elections 2010 Sumaye kafuata nini ubungo?

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
LICHA YA KUTANGAZA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO NA MNYIKA KUSHINDA LAKINI WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE YUPO HAPA ANATANGATANGA HUKU NA KULE. SWALI:- KAFATA NINI HAPA? WANATAKA KUCHAKACHUA KULA ZA URAISI. TUMEWASTUKIA...............PIPOZZZZZZZZZZZZZ.....!!!!:israel:
 
Mwambieni Mnyika asisahau kulinda kura za Rais wetu!!
 
Tunamfuatilia kwa ukaribu zaidi kuona nini kafata hapa huyu jamaa. Nguvu ya uma haizuiliki hata kidogo. Chadema Juuuuuuuuuuuuuuuuuu:smile-big:
 
hawa wazee wazamani wanalinda AMANI jamani, pamoja na kumsifia KIKWETE wanajua ukweli kwamba mtoto akinyea mkononi kwao huwezi kuukata mkono,... ameenda kuwatahadharisha wasilete mzaha na maisha ya watanzania......
Mungu saidia Kura wanazochakachua ziwageuke

I wish WAITARA angekuwa ndio mkuu wa jeshi kwa sasa, mkwere asingekuwa anajichekesha ki hivyoooooooooo

Du sijui niombe mkoloni arudi tenaaaaaa

Angalao tulikuwa na shule nzuri na hospitali nzuri.............................
pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sipati picha wananchi wanavozingira vituo vya kuhesabia kura kama ingekuwa enzi za IGP OMARI MAHITA
 
Sipati picha wananchi wanavozingira vituo vya kuhesabia kura kama ingekuwa enzi za IGP OMARI MAHITA

Zama za Mahita na Waitara zimepita. Zilikuwa zama za Personal Power. Sasa tunaingia katika zama za Peopleeeeeees' Poweeeeeeeer.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom