Sumaye alivyounga mkono Madai ya CHADEMA!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Mojawapo ya hoja alizosema Sumaye Leo na waandishi kuwa ili mtu apate Urais ni lazima akubaliwe na Wananchi,chama na DOLA.kwa maana kuwa kimojwapo kikikutaa ,basi wewe uongozi unausikia kwenye bomba.

My take
Chadema wadai DOLA ilichakachua kura zake na kumtaganza JK kwa kuwa DOLA haikutaka Slaa apate urais,

Sasa imedhibtika rasmi kwamba madai ya chadema ni ya kweli kwa kuwa yamesemwa na mtu aliyeko jikoni mwa CCM.
 
Kwa mujibu wa Katibu yetu ya sasa pamoja na madhaifu yake mtu unaukwaa urais kwa kupitishwa na Chama na kupata kura nyingi za wananchi kuliko wagombea wengine. Sikubaliana na maoni ya Sumaye kuwa lazima dola ikukubali. Katiba haisemi hivyo asilani.
 
Hata mie nimeona kama kakosea kwa hilo.
 
Sumaye hakuzungumzia kuhusu katiba bali kazungumzia kutokana na uzoefu wa jinsi uchaguzi ulivyofanyika, kwani kanuni nyingi zilikiukwa ili kukidhi matakwa ya wakubwa. Kwa uzoefu wetu hapa bongo linapokuja suala la kutaka kubaki madarakani kwa watawala basi hata katiba yenyewe huvunjwa, na kwa vile katiba yenyewe katika baadhi ya ibara zinabariki wizi na uchakachuaji wa kura kwa kutamka kuwa mgombea akishatangazwa na NEC hakuna mamlaka inayoweza kuhoji mapungufu yoyote yaliyopelekea kutangazwa kwake kuwa ameshinda. NI dhahiri kuwa ni dola ndiyo inaamua, kwani hata NEC ambayo ndiyo ianamua kumtanagza mshindi ni chombo cha dola pia na mwanyekiti wa NEC ni mteule wa Rais.
 
Sumaye hakuuma Maneno, amesema kabisa vitu 3 ambavyo viatafanya m2 aweze kuingia madarakani ni Wananchi, Chama Chake na Dola. Msitake kedit, Dola ni kweliiiiiiii kabisa Rais wangu slaa alichinjiwa dolani
 
Mojawapo ya hoja alizosema Sumaye Leo na waandishi kuwa ili mtu apate Urais ni lazima akubaliwe na Wananchi,chama na DOLA.kwa maana kuwa kimojwapo kikikutaa ,basi wewe uongozi unausikia kwenye bomba.

My take
Chadema wadai DOLA ilichakachua kura zake na kumtaganza JK kwa kuwa DOLA haikutaka Slaa apate urais,

Sasa imedhibtika rasmi kwamba madai ya chadema ni ya kweli kwa kuwa yamesemwa na mtu aliyeko jikoni mwa CCM.
hapa Sumaye katoa uzoefu alioupata akiwa waziri mkuu.
JK alichakachua kwa msaada wa TISS madai ya Slaa PROVED
 
Hata mie nimeona kama kakosea kwa hilo.
Sumaye hakuuma Maneno, amesema kabisa vitu 3 ambavyo viatafanya m2 aweze kuingia madarakani ni Wananchi, Chama Chake na Dola. Msitake kedit, Dola ni kweliiiiiiii kabisa Rais wangu slaa alichinjiwa dolani
Mbona hilo liko wazi tu mwanangu, rejea kauli za kina Shimbo na Zoka.
Sumaye hakuuma Maneno, amesema kabisa vitu 3 ambavyo viatafanya m2 aweze kuingia madarakani ni Wananchi, Chama Chake na Dola. Msitake kedit, Dola ni kweliiiiiiii kabisa Rais wangu slaa alichinjiwa dolani

No commet Sir,
 
Hata mie nimeona kama kakosea kwa hilo.

Hapana hajakosea, anajua anachoongea. Hata UVCCM wanajua hivyo kwani walitamka wazi kuwa JK anamjua rais ajae.

Sumaye ni mtu muhimu sana katika nchi kudhani anaweza kufanya makosa ya kizembe namna hiyo katika matamshi.

Chama kinaweza kukupitisha wananchi wakakataa, wananchi wanaweza kukupitisha Dola ikakataa.. Tanzania, Zimbabwe, Ivory Cost, Kenya. Kote huko imetokea,
 
siri imefchuka! Alijiandaa kuktana na waandsh wa hbr so hajaponyokwa kusema 'Dola' ndvyo ilvyo. 2namshkuru kw kuweka mambo hadharani!
 
Sikufuatilia press conference ya Sumaye ya leo zaidi ya kupitia hii thread.

Nimeshitushwa sana kusikia katamka kuwa dola ni moja ya nguzo muhimu kwa mtu kupata urais!

He's either very smart (i.e he knows exactly what he's doing towards 2015) or a complete idiot!
 
huyu mzee hajakosea japo nayeye ni sehemu ya matope hayo,ila angalau anauwezo wa kusema na kuamua jambao ambalo ni tatizo kwa viongozi wa tz
 
Back
Top Bottom