Sumaye akutana na waandishi wa habari; afafanua msimamo wake

mbona kama bado anatoa introduction!!!!!! ...bado hajakomela sawasawa msumari
 
Kuna maoni mengine yanaweza kuwa na athari kwa chama hivyo ni juu ya kiongozi husika kuangalia athari ya kutoa maoni husika.
 
UVCCM wana mpango wa kupambana kina Sitta na Sumaye. Wanataka hawa wasipewe nafasi katika chama, wanadai watapigana ndani na nje ya chama kuhakikisha watu hawa hawapewi nafasi.

My comment:

Sitta yashaanza kumkuta ya UVCCM huko Tabora!

i hope this is a calculated political move, maana Sitta akimruka tu , atakua ameng'ata pakavu!
 
Serikali yoyote iliyochaguliwa kidemokrasia LAZIMA itasemwa na kukebehiwa. Kiongozi yeyote na chama chochote kilichochaguliwa kidemokrasia, kitasemwa na watu watakikebehi. Si ajabu
 
Nimeshtushwa SANA na kauli ya UVCCM mkoa wa Pwani kuwa suala la rais ajaye 2015 lipo mikononi mwa rais Kikwete! Hili linanishtua, siamini kama rais Kikwete anamjua rais ajaye 2015
 
Asante mkuu!

I feel sorry for Sumaye! walimrushia makombora na mpaka leo inajulikana ni fisadi! leo hii UVCCM wanacheza michezo ile ile ya akina JK!

I believe huyu jamaa let say anakuwa rais kundi la JK litapata shida sana, wanampinga kwa nguvu zote wala asiwaze kuwa rais

Any one help: je kwa sasa sumaye na Lowasa uhusiano wao ukoje?
Hawa watu urafiki wao ni wamashakamashaka kama Paka na Panya, Ni muda mrefu hawajaonekana pamoja hadharani, Lakini Si unakumbuka ile Vita kati ya JK na FRED ya 2005, FRED alikuwa VICTIM na mpaka sasa amebaki hivyo, Na si yeye tu hata watu wooote ambao walikuwa nyuma yake nao walikuwa-Victimised. Lakini Pia huyu jamaa aliwekeza sana kwa ajili ya 2005, Kama si RA na EL ,JK alikuwa hana Kitu. Lakini usisahahu sasa kuwa watu wanajipanga kwa ajili ya 2015, Na FRED Bado ni mmoja wa watu wenye nguvu ndani ya CCM ndiyo maana UV-SISIEM wanacheza ngoma ile ile ya JK,RA na EL waliyocheza 2005.
 
Sasa hawa vijana wanaotaka kula ni akina nani?? Movie imeanza vizuri na inazidi kunoga...................... Lete story, kazi nitaendelea baadaye. Sasa hivi ni mambo ya mstakabali wa Taifa letu. Taifa kwanza kazi baadaye......!!
 
Me mwenyewe bado sijapata anataka kutuambia nini!
Anasema LENGO ni kuwajibu UVCCM, anatumia njia wanayotaka.

Anasema yeye hayupo CCM kwa maslahi yake binafsi, amekereka sana na kauli za UVCCM na inamshangaza kuona wanafumbiwa macho na ana wasiwasi na hatma ya CCM
 
UVCCM wana mpango wa kupambana kina Sitta na Sumaye. Wanataka hawa wasipewe nafasi katika chama, wanadai watapigana ndani na nje ya chama kuhakikisha watu hawa hawapewi nafasi.

My comment:

Sitta yashaanza kumkuta ya UVCCM huko Tabora!
Hawana nguvu kiivyo kwa sasa. Tuogope tu watu wa aina ya Rostam kama watakuwepo.
 
Sasa hivi mtu yeyote akiongea ndani ya CCM ataambiwa anautaka urais, hii inaweza kuwaziba wengi midomo
 
Serikali yoyote iliyochaguliwa kidemokrasia LAZIMA itasemwa na kukebehiwa. Kiongozi yeyote na chama chochote kilichochaguliwa kidemokrasia, kitasemwa na watu watakikebehi. Si ajabu
CCM hiki kitu ndio hawataki kukisikia kabisa.
 
Nawaomba watanzania, yeyote atakayejaribu kutumia njia za udanganyifu kwa RUSHWA, KUTENGANISHA WATU, tumkatae kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom