Sumatra

leo nimelipa fain kwa trafic sija lipia pikipik kizima moto!

Sasa ndugu usalama wako kupigwa fine ni kosa?unahisi usingenunua kama usingepigwa fine?ndo kuna watu wakipgwa fine kisa hawajafunga mkanda kwa gari wanalalamika wakati ni usalama wao.
pole kurudia kosa ndio kosa
 
Back
Top Bottom