Sumatra, sumatra wametoa nafasi

Sasa mkuu wewe umegraduate juzi juzi tu unataka uwe senior accountant kweli wewe jamaa uko serious? Ndo mana graduates wengi tunakosaga kazi sababu tunataka posts za juu tu in short sisi graduates tusio na experience enty level zetu ni officers grade II sasa nakushangaa umesoma kote huko lakini hilo hulijui kua na CPA na BAchelor ya finance hakutoshi tu vitu vingine ni kujiongeza tu huwezi kutoka darasa la saba ukarukia kuanza form 2 au 3 lazima uanze form one etc huo ndo utaratibu mkuu over..!!

well said.sisi waajiri hatuna uhitaji na vyeti vyako bali performance.kuna nafasi zinahitaji kufanya strategic decisions,kama huna uzoefu hatuwezi kukupa nafasi kama hiyo hata ungekuwa na vyeti vya PhD
 
:help:Naombeni msaada kwani wanamaanisha nini kipengele cha''TESTIMONIALS NAMES'' neno ilo maana yake wanataka nini na je kwani lazima.
naomba msaada wenu wanaJF
 
Back
Top Bottom