Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Mkuu hili tatizo hata mie liliwahi kunitokea.

nilichofanya nilibadili mwenendo wa chakula na vinywaji na pia nilisoma ushauri wa wadau humu.
hiyo hali saivi nshasahau kama nilikua nayo
 
Punguza msongo wa mawazo kwa kufanya mazoezi,kunywa maji ya kutosha,zingatia lishe bora,pata muda wa kupumzika ipasavyo,kama kuna kilevi chochote unatumia punguza iwezekanavyo na unapokuwa kwenye tendo ondoa hofu ya kushindwa kufanya(relax)....bila kusahau..omba MUNGU akusaidie kwa yanayokusibu...
 
Kama unacheat wacha iwe hivyo hivyo ili utulie mpk ucheze uwanja wa nyumbani tu peke yke.
 
Mkuu unachoface wewe ni tatizo la kisaikolojia ambalo litazidi kuendelea kama usipochukua hatua.
Wala haiitaji kwenda kwa daktari kupata tiba, ni wewe mwenyewe tuu. Ukienda kukutana na mwenzi wako usiwaze kwamba hautoErect, toa kabisa mawazo hayo, jiambie kwamba wewe ni mwanaume kamili na lazima utaErect kama zamani. Jitahidi pia kufanya maandalizi ya kutosha(foreplay) kabla ya mchezo na katika muda wote utoe mawazo yako katika kufiria kutoErect.
Angalizo: Kama unacheat, hata ufanye nini hilo tatizo haliwezi kuisha, unless uwe umekubuhi katika sekta ya kucheat
 
Habari za muda huu wakuu, kwa kifupi ni hivi: mara nyingi nikiwa kwenye mapenz huwa nachukua muda sana kumaliza, kuna muda hadi huwa naulizwa humalizi? Hali hii kwangu inanisumbua sana kwani kila nkitaka kulala na mwanamke nakua na mawazo hadi inanipa hofu na kutamani kuahirisha zoezi.

Swali langu ni kwamba yawezekana hili ni tatizo? Je kama ni tatizo nini suluhisho lake naombeni msaada tafadhari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom