Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Hahahaaa... my dear everlenk uwanja wenu, Karibuni sana wapendwa wetu. Itakua ni faraja sana kuona mtu mmoja mahali anasidika kwa namna moja au nyingine.

Michango ya mawazo yenu wenu ni ya thamani na sana, Tafadahli karibuni na wadada wenzio . Most welcomed!!!!!
Many Thanks
cc Fixed Point, miss chagga, ICHANA, miss neddy, mwallu, Heaven on Earth, Karucee, @Howty Lady, Kongosho, lara 1 na wengineo wote

Mkuu tunashukuru Sana kwa elimu uliyoitoa, huo ndio uzalendo wenyewe yaani kutumia elimu uliyopata kuelimisha wengine. Mi naishi ughaibuni na Mara zote mechi zetu hufanyikia viwanja vya ugenini na huku performance huwa Ni mzuri Sana kuliko tukiwa nyumbani. Na Mara nyingi mpambano wangu huufanyia jiko au hata garage huko ndio naenjoy zaidi kuliko kitandani. Siku mechi ikiwa 6*6 nachelewa Sana kushusha mzigo.
 
Hili tatizo kumbe limekuwa sugu hivi?????naona wanaume wengi wamesoma huku poleni achane chips yai na clouds naona ndo wanataka kuwaharibu kabisa so mbaya majirani zenu wakenya watakuja kuwasaidia hahahahahhahaa
 
Ni rafiki yangu sana.lakini ni mdogo sana kwangu.
Ameoa,ndoa yake ina siku mbili..
Siku ya kwanza hakwenda hata dakika 5 lakini alijihisi bado ana nduvu japokua hakuendelea.
Siku ya pili hata dakika 2 hazikuisha na hakuwa na uwezo wa kuendelea tena.

Ananiuliza ana tatizo gani? Au afanyaje awe vizuri?
Binafsi sijawai kuwa na hali kama hiyo.
Naomba wataalamu au wazoefu wanisaidie.. Maana dogo nikimuangalia nahisi kachanganyikiwa kabisa!
 
Mwambie in hali ya kawaida.......hizo ndo bikira za kiume na ndo inatoka hiyo. Aendelee pigs game kula matunda na maji mengi atapona.
 
Saa zingine ukiwa na msisimko mkali Anxiety unawahi Kukojoaa halafu ajitahidi awe anajiandaa vizur Aende Maduka ya Tiba za Asili Mskiti wa Mtoro pale atapata Dawa za Asil
 
Kwa wanandoa ni vzr sana kuww na cd za kamasutra love makers kuna masomo masuri sana na pia kuangalia tu mnapata mizuka balaa pamoja na kuangalia mara kwa mara softcore movies huamsha hisia pale zilipozembea kutokana na kuzoeana kunakolemaza
 
Kubadikisha mazingira siju ingine mnahamia guest ukifikiria umelipa laki nne kwa usiku mmoja hutalala ni kukamua tuu hahaha utani ila mazibgira yanaleta sana hamuu na juameha hisia hasa mazingira mapya ambayo hamjayazoea na oia hakuna kelele mara mtoto analilia pipi mara dada anapita dirishani mara kelele za majirani nk nk
 
Mm kila nikisex na mwanamke baada ya tendo analalamik tumbo linaum sas sielewag tatzo nin nakosea kufanya vzr au inakuaje?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom