sikuhizi mwanaume akiishiwa na nguvu za kiume ni nafuu kwake, kwani atakuwa amejikomboa na magonjwa ya zinaa pamoja na ukimwi.
Bibie kungu Manga! Ukizijuwa namna ya kutumia basi nyumba yako itatulia hakuna cha nyumba ndogo wala kibustani hapo.
Kisha uje unipe Feedback asante everlenk
You are such a BIG help Brother MziziMkavu.
Nakushukuru sana kwa niaba ya wengi humu Mkuu.
Asante sana. everlenk kazi kwako sasa na kungumanga!!!! hahahahahaaa!!!! Ntakupeleka ICC usipoleta mrejesho apa!!! Aalaaahh!!!!!
Loh!! Ahadi ni deni nisije anza mwaka na madeni mie, asante sana MziziMkavu kwa kweli naenjoy sana sana yaani kiasi cha kujaa na kusukwa sukwa,loh Tized macho yamekutoka kweli embu kaa mbali kidogo usije kumwambia kaka yako siri ya urembo.
Kweli inasaidia kufanya mwili kuwa active,hakuna kuchoka mapema,halafu inasaidia sana kuweka mashine katika hali fulani sijui nisemeje,yaani wadudu wananyevua nyevua haswaa muda wote wa show,mhh ni mengi nimejifunza mengine naona aibu kuweka hapa nina shemeji zangu humu.
Halafu pia nilitest pia upande mwingine kwa Mr kitu cha masaa 3 kabla bila ya kula,hoops!! Show ilikuwa nzuri balaa,sebene lilichezwa likachezeka,kwa kweli maisha yangu ya kimapenzi yameongezeka kiwango sana kila iitwapo leo nazidi kufurahia zaidi na zaidi,asanteni sana wapendwa kwa Elimu hizi nzuri tulizoshare pamoja,Mbarikiwe sana.
Tized nawe ulete feedback,lol
Hahahahaaaa... Siendi mahali basi!!!! Nakomaaa hapa hapa, nakodoaje mimacho!!!!:tonguez::tonguez:
Thanks everlenk kwa feedback, Inafurahisha sana na hongera sana kwa kuchukua hatua. Toka mada inaanza nilikuona ulikua umekaa na notebook yako mahali, so hakika sasa umesheheni. Muaceni brother yangu afaidi mema ya nchi!!!!! Allaaaaa!!!!
Many thanks kwa wadau woote waliotoa muda wao kutoa hekima na ujuzi wao hapa, to mention a few MziziMkavu, EMT, BAK, mwallu, watu8, 1st AID, Zogwale, ICHANA, Mr Rocky, Freeland, Mtambuzi wewe mwenyewe everlenk na wengine woote. Tunathamini sana michango yenu wakuu. Michango yenu imesomwa na zaidi ya watu 73,ooo hadi sasa na bado inaendelea kusomwa na kusaidia maelfu. Mmefanyika msaada sana. Shukrani sana.
Mhhhh!! everlenkMimi sina feedback yoyote kwa sasa, bado naendelea kukompile notes hapa. Mean while namlia radha Khantwe tuende laboratory kidogo then tutaleta mrejesho. hahahahahahahaaa!!Kie kie kie!!!

Mmmmhh huu uzi sijausoma....nikiolewa nitaupitia post kwa post...neno kwa neno.

Asante mkuu everlenk Kwa kunipa Feedback ya Dawa yangu niliyokupa uwafundishe na wanawake wengine Faida ya dawa ya Kungumanga ili na wao nyumba zao zipate kusimama zisihariibike unasemaje kwa hilo?Loh!! Ahadi ni deni nisije anza mwaka na madeni mie, asante sana MziziMkavu kwa kweli naenjoy sana sana yaani kiasi cha kujaa na kusukwa sukwa,loh Tized macho yamekutoka kweli embu kaa mbali kidogo usije kumwambia kaka yako siri ya urembo.
Kweli inasaidia kufanya mwili kuwa active,hakuna kuchoka mapema,halafu inasaidia sana kuweka mashine katika hali fulani sijui nisemeje,yaani wadudu wananyevua nyevua haswaa muda wote wa show,mhh ni mengi nimejifunza mengine naona aibu kuweka hapa nina shemeji zangu humu.
Halafu pia nilitest pia upande mwingine kwa Mr kitu cha masaa 3 kabla bila ya kula,hoops!! Show ilikuwa nzuri balaa,sebene lilichezwa likachezeka,kwa kweli maisha yangu ya kimapenzi yameongezeka kiwango sana kila iitwapo leo nazidi kufurahia zaidi na zaidi,asanteni sana wapendwa kwa Elimu hizi nzuri tulizoshare pamoja,Mbarikiwe sana.
Tized nawe ulete feedback,lol
Asante mkuu everlenk Kwa kunipa Feedback ya Dawa yangu niliyokupa uwafundishe na wanawake wengine Faida ya dawa ya Kungumanga ili na wao nyumba zao zipate kusimama zisihariibike unasemaje kwa hilo?
Mkuu EMT Unavyosema wewe ni makosa sio ukweli kuwa Ubongo utakwambia kitu gani pasipo na moyo kwanza kukupa fikira za kusema ndipo ubongo unapokwambia useme kwanza ni moyo kisha ndio ubongo. Maneno haya sio maneno ya kwangu ni maneno ya kipenzi cha watu dunianiMkuu hiyo signature yako ya "only do what you heart tells you" ina maana gani?
Mie huwa nawaambia watu only do what your brain [not your heart] tells you to do.