Suluhisho la Waagizaji wa Vitu Mbali mbali Kutokea Nje ya Nchi Kuleta Tanzania

Nkandi

Member
Nov 20, 2010
83
42
Wanajamii,

Baada ya kuona wajasilamali wanaongezeka,tuliona ni vyema kutafuata namna ya kuwasaidia wajasiliamali wadogo wapate namna ya kusafirisha bidhaa zao kutokea huku wanapoziagiza mpaka hapa nchi kwetu (Tanzania)

Hivyo tumeweza kushirikiana na kampuni za kimataifa za usafirishaji zenye kujali wajasiliamali wenye kipato cha chini kwakuwa mizigo yote usafirshwa na malipo ufanyiwa hapa hapa Tanzania baada ya mkataba maalumu, na kwa wale wenye biashara zilizorasimishwa upewa mkopo hadi wa siku 30 (30 days credit facility)

Kwa wale wanaopenda kuagiza moja kwa moja kwa watengenezaji,kutumia mitandao kama amazon.com au mizigo kutoka sehemu mbalimbali waweza kuwasiliana nasi kwa email: kkmarketing61@yahoo.com, tutazungumza mengi,tutakujuza pamoja na kukutembelea ofisini kwako.

NB: Huduma hii inahusisha kufikisha mzigo mikoa yote na kwa teknolojia ya kisasa kwa kuwa utaweza kuangalia upitia mtandao kuwa mzigo wako upo wapi (advanced tracking system)

Naomba kuwasilisha.
 
Muwe huru kuwasiliana nasi muda wowote.....kama unahitaji quotation tutumie email;tuambie mzigo upo sehemu gani na nchi gani,kilo ngapi,ni vitu gani.....then tutakutumia quotation immeadiately,pia inachukua siku 4 za kazi mzigo unaupata....itategemeana na umechagua njia gani ya kuusafirisha..Courier way au Cargo(air/sea)..na mingine kutmia barabara....tupo kusaidia wajasiliamali
 
Mkuu je kwa cc ambao tunataka vya kutumia tuu, yaani hatuagizi in bulk
mnatuacomodate?
 
Mkuu je kwa cc ambao tunataka vya kutumia tuu, yaani hatuagizi in bulk
mnatuacomodate?

We assist all hata kama unaagiza shati moja...tunahakikisha umefanikiwa...kuwa huru kuwasiliana nasi muda wowote,tunafahamu utofauti wa mahitaji ya watu....
 
Back
Top Bottom