Suluhisho la Mgomo wa Mafuta ni hili

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,061
5,393
Nadani huu ndio muda muafaka wa watanzania kufanya mgomo wa amani lakini effective na ni kama ifuatavyo.

1. Sisi wenye magari tupaki magari yetu kesho asubuhi kufunga njia zote za kuingia na kutoka mjini tuache njia moja tu ya kuruhusu ambulance
pamoja na wagonjwa wengine wanothibitika ni wagonjwa tu.

2. Pili wananchi tuvamie kwa amani kwenye vituo vyote vya mafuta kwanza kwa lengo la kukagua kama wanayomafuta au la. Kwa vituo vyenye mafuta halafu wamekataa kuuza mafuta yagawiwe wananch bure bila kuvunja amani

3. Wananchi wa Dodoma wawashinikize wabunge kukaa barabarani kuzuia misafara ya viongozi wote hasa PInda na Baraza lake la mawaziri.

4. Wananchi kupitia vyama vya kiraia na human rights tuandike muswada wa kutokuwa na imani na serikali kisha kuwalazimisha wabunge wetu watie sahihii na baadae kuupeleka bungeni ili wapige kura ya kutokua na imani na serikali ya Kikwete.\

5. wenye makampuni ya kuingiza mafuta wakama twe kwa kosa la kuhujumu uchumi (kizuizini bila dhamana) wakati jeshi likipewa dhamana ya kusambaza mafuta kwenye vituo vya mafuta nchini

6.
 
kwa Tanzania inakua vigumu sana ila ingekuwa kama nchi nyingine vile mbona saizi ingeshakua ishu nyingine?

WATANZANIA TUNA ILE KASUMBA KWAMBA YANINI NIANDAMANE? JE NIKIUWAWA?

HAYA MATATIZO YOTE YANASABABISHWA NA CC WABONGO, HUWEZI WAAMMBIA WASUKUMA WAKULE SHINYANGA KUANDAMANA WAKUELEWE.

HUWEZI KUWAAMBIA WAMASAI WAGOME WAKUELEWE.
 
c tanzania yetu,
ukianzisha utastukia uko wewe na mkeo,woote wamevaa magamba
Mkuu badala ya kusikitika imenibidi nicheke. Na kwa kuongezea inawezekana kabisa ukajikuta uko peke yako tu maana hata mkeo anaweza sepa vilevile
 
Back
Top Bottom