Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 470
- 193
TATIZO LA GARI KUTETEMA.
- Kuna aina mbili za mitetemeko kuna mtetemeko wa ndani ya gari na kuna mtetemeko wa ndani na nje.
Kwa leo nitaelezea mtetemeko wa ndani.
- Mtetemeko huu unalikumba gari kwa ndani tu ila ukiwa kwa nje hauwezi kujua kama gari lina tatizo hilo.
*CHANZO:-
1- Hii inatokana na kuisha kwa vimipira (ENGINE MOUNT) ambavyo vina kaa kwenye maunganishio ya injini na mwili wa gari kama inavyo onekana kwenye picha.
2- Maji, maji yanapo kuwa katika maunganishio haya husababisha hivi vimipira kusagika kiurahisi , kufanya kuzalisha kwa usumaku ambao utafanya kuwepo kwa munganiko kati ya injini namwili wa gari.
[HASHTAG]#LENGO[/HASHTAG] LA KUWEKWA KWA VIPIRA HIVI( ENGINE MOUNT) NI KUONDOA MAWASILIANO KATI YA INJINI NA MWILI WA GARI.
[HASHTAG]#HIVI[/HASHTAG] VIPIRA HAVI FANYIWI SEEVICE BALI HUWA VINABADILISHWA.