Sukari....

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI..
Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI
Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari...

Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome:
 
Hilo fumbo nalo!!!
Nadhani waongelea pilipili sasa sio sukari tena, na imeingia kwenye sukari!
Hapo solution ni kuwa na maji pembeni, walamba kisha wapooza!!!lol
 
Huyo ni mgeni asiyetakiwa,halafu kajikaribisha mwenyewe chumbani na kutoka kakataa na wenye nyumba kumfukuza hawawezi.
 
Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI..
Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI
Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari...

Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome:

Sukari imeingia sumu dude kwa sox
 
Back
Top Bottom