SuitGate: Caption this...

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
The Spin-off thread!!

Ziwekee maneno picha zifuatazo:

(Dokezo - Pichani ni Balozi mstaaf wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Retzer)

pgfarewell083107bg1.jpg

"Retzer:...jamaa machale yamempanda nini?? mimi nimekuja na ki-surveillance kamera changu kumpiga picha na suit za Savile Row naona kanivalia Mao Suit, ngoja nijichekeshe tu hapa..."
"Mh. Sana:... mwone huyu, anafikiri wabongo hatuwajui njama zao, nimvalie suti zangu za ng'ambo akanifanye kituko huko makwao anakorudi..."

......
......

Attachments

  • pgfarewell083107bg2.jpg
    pgfarewell083107bg2.jpg
    253 KB · Views: 47
"Retzer:...jamaa machale yamempanda nini?? mimi nimekuja na ki-surveillance kamera changu kumpiga picha na suit za Savile Row naona kanivalia Mao Suit, ngoja nijichekeshe tu hapa..."
"Mh. Sana:... mwone huyu, anafikiri wabongo hatuwajui njama zao, nimvalie suti zangu za ng'ambo akanifanye kituko huko makwao anak

Du kweli steve umemchoka ....​

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom