ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Don't generalize, kama kuna mischief imetokea katika this particular charity itaje.
Ama sivyo utakataza watu kutoa kwa sababu tu "in the name of giving so much mischief has already been witnessed in this world"
Kama wewe huna roho ya kujitolea waache wenzako.
Kiranga,
Tatizo lako haufuatilii hizi events carefully.
Tamasha lilivyoisha, SUGU alitangaza kuwa nyomi ilikuwa kubwa sana kwenye concert na akawashukuru sana watu wa jiji la Mbeya kwa kile alichokiita unconditional love walioionyesha ya kujaa kwenye tamasha.
Wakati wa kutoa report ya mapato, SUGU huyohuyo anatoa kauli tofauti. This time anasema walitarajia waingie watu 5000-10000 lakini wamepata watu 1200 tu. SUGU kama mzoefu wa muziki wa kufokafoka jukwaani anajua kwamba watu 1200 sio nyomi. Kwa hiyo aliposema imekuja nyomi, ina maana kweli aliiona nyomi and that nyomi lazima ionekana kwenye mahesabu pia.
Watu 1200 hata wale waganga wa kienyeji wa mitaani wanaweza kuwapata, sasa all the matangazo etc waliyofanya ndio yamevuta watu hao tu katika home city ya SUGU?
Swali lingine la kujiuliza, yaani kweli ufanye tamasha halafu waingie watu 1200 kamili?!!! hata sio 1289, 1176 au 1235 yaani namba fulani more realistic.
Tatizo letu watanzania tumezoea kuacha mpaka demage ifanyike ndio tukosoe. I choose to be different, nimeona usanii unafanyika kwenye hii movement ya antivirus na ninawaeleza mapeeeeeeeeeeeeema. Mwenye kusikia na asikie...