Sugu (vinega), hebu fanya na hili kuonyesha usugu wako.

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Nilikuwa napenda kutoa ushauri wa bule kwa muasisi wa muziki wa kizazi kipya SUGU.
Kwa kuwa lile tamasha lako ulifanikiwa hebu fanya mpango wa haraka wa kuhuzulia mazishi ya mr EBO na 2-uandae tamasha la kumuaga mr ebo.
Ili uonyeshe usugu na ukongwe wako ktk fan hii na cyo kama wengi wanavyofanya juhud za kukuharibia ili uonekane mhuni.

Ukiwezekana 2nga na song kbs na kama utafanya tamasha chapisha na t-shirt kbs na fedha za mauzo ya t-shirt hz inapewa familia ya marehem
 
Nilikuwa napenda kutoa ushauri wa bule kwa muasisi wa muziki wa kizazi kipya SUGU.
Kwa kuwa lile tamasha lako ulifanikiwa hebu fanya mpango wa haraka wa kuhuzulia mazishi ya mr EBO na 2-uandae tamasha la kumuaga mr ebo.
Ili uonyeshe usugu na ukongwe wako ktk fan hii na cyo kama wengi wanavyofanya juhud za kukuharibia ili uonekane mhuni.

Ukiwezekana 2nga na song kbs na kama utafanya tamasha chapisha na t-shirt kbs na fedha za mauzo ya t-shirt hz inapewa familia ya marehem[/Q

umeuza issue mkuu,ungemtafuta Sugu private,sasa hapa tayari wabaya wake watakuwa wamesha inusa hii

ni bonge la ushauri mkuu
 
mkuu vip kama una contanct zake ni2pie bas nichat naye.Nipo siliaz mkuu.Ngoja nijaribu kumtafuta kwenye fb.
 
Umshauri we sheikh yahaya acheni mambo yenu nyie watu wa mawingu maza fanta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom