Sugu Tunaomba Anti-Virus Ije Mikoani

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Muheshimiwa Sugu baada ya ile burudani uliyoitoa pale Dar siku ya tarehe 26/11/2011 sasa imebainika watu wa mikoani nao wanashauku kubwa sana ya kuipata ile ladha ya Anti-Virus uliyowapa watu wa Dar! Utakua umewatendea haki sana watu wa mikoni kama sisi tulioko jiji la Arusha tukaipata Anti-Virus asante sana napenda kuwakilisha. Anti-Virus Forever!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom