Sugu ni play boy??

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,047
Sugu amekuwa akiwachezea na kuwatema kina dada zetu wa kitanzania.....je hii ni sawa kama kiongozi wetu kufanya ivyo..??vijana ambao ni washabiki wake wanaiga nini kutoka kwake??

mifano hai

aliwatenganisha watu waliotoka mbali(Jaffarai & Shyrose) kisha akamtelekeza Shy wa watu....


fullstory.jpg


baadae amemzalisha bila ndoa mwanadada Faiza.

[h=1]Huyu ndiye mama wa mtoto wa Sugu[/h]
Huyu ndiye mama wa mtoto wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aliyezaliwa hivi karibuni. Jina lake ni Faiza.


faiza sugu.jpg


sasa akisha mtupa na Faiza sijui ataenda kualibu wapi!!

au ndio anafata nyendo za slaa..??
 
Hata wewe kikojoleo chako kama kinawasha mpe akupige pipe. Maisha ya watu yanakuhusu nini?
 
Yan habari za magazeti ya udaku bhana! Yan wasichana wawili ni u play boy?
 
Unajua watu huwa hatuelewi kwani sugu alishawahi mtaja mke wake popote pale kabla ya huyo kuzaaa?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Lazoma na wewe kakupitia ila hukubahatika kupata mtoto kama mwenzio katega katengeneza urithi fasta! Jitahidi umtafute WASSIRA akupe chalii na wewe!
 
ila hapa SLAA kaingiaje? hapo ndipo ulipoonyesha kuwa uko too personal na unaongozwa na emotions! hii inathibitisha hakuna cha kujadili hapa zaidi ya udaku, kaongee na shigongo akupe page kwenye RISASI! tabia za kishoga!
 
Judy wa kishua wewe si ndio mwenye kile ki duka cha nguo cha bei rahisi unauza na viatu unaiita judy fashion??

Kama ni wewe nitarudi kuja kukupa story ya baba yako
 
Back
Top Bottom