Sugu, Nassari & Magenge wafunika DarLive!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Sugu akisikiliza shangwe kutoka kwa mashabiki wake.
Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Mbunge wa Arusha Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu.…
Sugu akisikiliza shangwe kutoka kwa mashabiki wake.
Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Mbunge wa Arusha Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu.

Sugu na Mkoloni wakizidi kuwadatisha mashabiki.

....Wote mikono juu baada ya kupagawa na shoo ya Sugu.
Profesa Jay akiwapa burudani mashabiki.

...Akiwasabahi mashabiki wake.
Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi likifanya makamuzi stejini.

...Wanaume kazini.
...KR Muller akionyesha mbwembwe zake stejini.
Mapacha kutoka kundi la Vinega wakiiteka steji ya Dar Live.

Vinega wakiwa mzigoni.

Suma G nae alikuwepo kuupamba usiku huo.

Danny Msimamo akiwarusha wapenzi wa burudani.
Bendi ya Chuchu Sound nayo ilifanya makamuzi katika tamasha hilo la Usiku wa Sugu.
Rapa wa Chuchu Sound, Mao Santiago akionyesha umahiri wake wa kukata mauno.
Nyomi iliyohudhuria shangwe hizo.
Kundi la Naukala Ndima likifanya vitu vyake stejini.​
Mmoja wa wasanii wa kundi la Naukala Ndima, akionyesha machejo ya kucheza akiwa katobolewa na panga kichwani.

Mbunge wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan akiwasalimia mashabiki wa Dar Live.

Baadhi ya mashabiki wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Sugu.
Msanii mahiri wa HIP HOP ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Mr II' a.k.a Sugu, jana alizikonga nyoyo za mashabiki wake waliofurika ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem kwa kufanya makamuzi ya hatari katika tamasha la Usiku wa Sugu. Sugu alisindikizwa na Juma Nature, Profesa Jay, Vinega, Mkoloni na wengineo wengi kwenye shoo hiyo iliyokuwa ya aina yake.
 
Back
Top Bottom